Kwny hii ratiba ataambulia point 4 tu akijitahidi ila akikaa vbaya atapata point 1 nayo ni dhidi ya Brentford....Man U hawatakubali kudhalilishwa pale OT
Masingeli kazi inakufaa sana hio na pia unaimudu vizuri kabisa, haya fungua link uanze mchakato.
Manunu watadundwa na vitimu vidogo ila zikijq timu kubwa huwa mnakuwa kama mmetiwa ndimuOT sasa hivi limeshakua shamba la bibi, sasa hivi hakuna tena timu inayoogopa kucheza pale kwenye matofali ya kuchoma.
Mambo vipi Flano, kwema?OT sasa hivi limeshakua shamba la bibi, sasa hivi hakuna tena timu inayoogopa kucheza pale kwenye matofali ya kuchoma.
Hizi mechi za kimataifa zinazingua tunaamua kwanza kwenda kutulia kwenye majukwaa ya Israel na Palestina kwa muda.Dah kwanza ulipotelea wapi aisee
Majukwaa yalipoa
Hiyo kazi ningekuwa napiga English ya kiwango Cha juu ningeomba ,sisi wa St.kayumba hazitufai hizo, unaona hapo Kuna kuwafanyia interview wachezaji na staff , inahitaji lugha iwe inapanda kwa kiwango kikubwa Sana .
Fresh kabisa mtu wangu.Mambo vipi Flano, kwema?
Najua kitawaka sana humu😅Fresh kabisa mtu wangu.
Naona jukwaa limepoa sana, bora mechi za kimataifa ziishe jumamosi tuanza kukiamsha humu.
Najua kitawaka sana humu
Acha tu sitaruhusu mwanangu asome hizi shule nilizosoma MimiHizi mechi za kimataifa zinazingua tunaamua kwanza kwenda kutulia kwenye majukwaa ya Israel na Palestina kwa muda.
Acha mchecheto Masingeli mbona kiinglish chako kimenyooka vizuri tu, au kiingreza chako ndio kama changu kinaishia kwenye kalamu la karatasi ila ukisimama na mtu kuongea nae unaanza kuyatafuta maneno na huyapati
Naona Masingeli sasa hivi anatamba tu humu peke yake na kuwalisha false hopes.
Nachoshukuru sasa hivi Masingeli mwenyewe ameanza kukubali kua Kai Harvez ilikua ni biashara haramu hata kwenye first 11 yake hamuweki tena.
Endelea kuota hivyo hivyo ,haitatokea kamwe .Nyie Kenge FC hakuna mchezaji wenu hata mmoja anaingia hii first eleven
Kama hakuna wakuwaambia ukweli ,Mimi najitolea kuwaambia ili nisije chomwa Moto
Kama mnabisha tafuta mchezaji wenu yeyote halafu aingie kwenye hii first eleven
Tunakuja kushinda Mara ya 4 mfululizo hapo Darajani
View attachment 2785482
Umemjibu vizuri Sana hapa. Maajabu atakua bado hajakuelewa
Wewe jamaa hujawahi ishiwa maneno aisee
Wachezaji Kama Kai wapo kwa ajili yakuzi kill timu Kama Mancity ,
Uliona umuhimu wa aeria duels ,alipoingia Mancity wakawa hawapati mipira ya juu,
Kai anaweka kwenye deep freezer,anatuliza ,anatoa assist
Mechi Kama zile huwez kutoboa na kina nketiha
Kai simuweki kwenye First eleven sababu napenda kiungo Cha
Ode Partey Rice
Lakin napenda kumuona Kama CF ,but Kuna Jesus, so Kama plan B mambo yakiwa magumu ,Basi Kai anafaa ,
View attachment 2785235
Nimevaa uhusika Kama shabiki wa Chelsea ,nimegundua jumamos hatutoki tunajifariji tu
Nimegundua tunahitaji kuwa makini dakika zote 90 ,tusifaye makosa ,lasivyo half time Arsenal wanaweza kutupiga 3-0