Mwaka huu hata Carabao nilisema tunalitolea macho Tena mawili ,
Kule Carabao tuna kina Aaron Ramsdale , Trossard,Jorginho
Tuna kihunzi Westham , tukipita hiki
Tukutane fainal pale WEMBLEY kwenye Carabao
Tukimpiga Westham ,tunaingia Robo , tunacheza Emirates
We unamuongelea City champions league umesahau kuwa Lens kakupasua 2 na ukuta wako huo unaousifia kila siku?Ratiba yetu ilivyo inatakiwa tukusanye points nyingi iwezekanavyo
Nia tunayo uwezo tunao
Upande wa UCL sijawahi kuwa na wasiwasi sababu tulishajiandaa kwa Hilo
Tukutane Robo fainal ,huku group stages tutaongoza kundi, Round ya 16 tutapita
Kwenye Robo ndio tunatakiwa kuwa watulivu hapa tutakutana na timu ambazo ukikaa vibaya zinakupeleka hatua za penalties
But tumejiandaa kwa Hilo ,
Una backline ya
White Saliba Magalhaes Timber
_______ Partey Rice ______
Tumecheza na mancity Mara 2 msimu huu wanashindwa kabisa kutoboa ,mechi ya kwanza kwa dakika 100 wanapata On target 2 ,mechi ya 2 kwa dakika 94 wanapata On target 1 ,hii Ni mipango ya Champions League, ninaposema UCL wakutusumbua Ni mancity Kuna watu wanaona nafanya jokes
Hiyo Ni February , Timber kasharudi , tunaitafuta Nusu fainal na fainal
SION SABABU YA KUTOKUWEPO PALE WEMBLEY MWEZI MAY
View attachment 2783810
Bongo vipaji viingi sana vinapotea.Haya mambo yapo sana, kuna mshakaji pia tulikua naye kitaa ni mwanangu tulikuwa tunapiga boli pamoja ila amenizidi miaka miwili na madarasa mawili tangu primary na baadaye sekondari moja.
Basi nikiwa form two yeye akamaliza form four, kwa miaka ya tisini std seven unamaliza na 15yrs so ukiongeza na minne ya sekondari akawa na 19yrs ila baada ya kumaliza form four, mwaka unaofuta akacheza under 17 national team na akendelea kwa mwaka mwingine.
Baada ya hapo akasajiliwa na JKT Ruvu wakampa na ajira, akamalizia soka lake hapo ila mshkaji alikuwa bonge ya player na ni versatile haswa. Alikuwa anacheza CB, holding midfield, attacking mid, both wings na ni CF hatari sana.
Huyu kama angekuwa spotted mapema angeenda nje na naamini angekuwa na career nzuri sana kwa mazingira ya wenzetu ila ndio hivo kwa familia zetu tulikuwa tunazuiwa ‘kuzama’ kwenye soka kwa kuwa mpira haukuwa na defined future kipindi hicho.
Huyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboaWe unamuongelea City champions league umesahau kuwa Lens kakupasua 2 na ukuta wako huo unaousifia kila siku?
Ki msingi ile man city ilikuwa kilema na mliingia kwenye ule mchezo kwa kupania sana ili kuthibitisha jambo of which limewasaidia kuwapa morali.
Masingeli unajisahau sana.
Real Madrid 1-2 Sheriff Tiraspol (Sep 28, 2021)Huyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboa
Hatusemi hatufungwi ,hata Ac Milan 2007 alipigwa na Lens
Hata Madrid ya Zidane ilifungwa na Timu dhaifu ya kina Peter Banda aliyefeli Simba
Kama unajiamini, weka laki hapa lens akija Emirates anakula 3+
Eti mancity alikuwa kilema ,nimembutua Mara 2 msimu huu ,
Nyie kila siku mnasema Wana kikos kipana Leo unasema walikuwa vilema
Mashabiki wa manjesta lini mtakuwa na akili ?
Walikuwa na Rodri ,Kdb tuliwapakisha Basi wakatema bungo ,au mnajisahaulisha
Mkuu unajua kupiga spanaHuyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboa
Hatusemi hatufungwi ,hata Ac Milan 2007 alipigwa na Lens
Hata Madrid ya Zidane ilifungwa na Timu dhaifu ya kina Peter Banda aliyefeli Simba
Kama unajiamini, weka laki hapa lens akija Emirates anakula 3+
Eti mancity alikuwa kilema ,nimembutua Mara 2 msimu huu ,
Nyie kila siku mnasema Wana kikos kipana Leo unasema walikuwa vilema
Mashabiki wa manjesta lini mtakuwa na akili ?
Walikuwa na Rodri ,Kdb tuliwapakisha Basi wakatema bungo ,au mnajisahaulisha
Mashabiki wa manjesta hawawez kuelewa mpira wao wamezoea Pass moja kwa Bruno amtafute Rashford wapate goliMkuu unajua kupiga spana
Unatembea na fact mwanzo mwisho
Inajulikana city anakikosi kipana, Ila alivyobamizwa na arsenal tu wanaanza kugeuza maneno
Mkuu unajua kupiga spana
Unatembea na fact mwanzo mwisho
Inajulikana city anakikosi kipana, Ila alivyobamizwa na arsenal tu wanaanza kugeuza maneno
Mimi pia humu niliwai kusema nguvu ya city ni gundogan, kdb, bernadoI am still surprised why City let Gundogan go? Not sure if city have already found his replacement. Yule bwana alikuwa anawabeba sana city kwenye critical moments.
His void will be felt this season
Hao viazi tutamkadhi Ghalladog na Caicedo wawaminye mpaka waite maji mma , ni kula viatu na mbata za kutosha , hasa huyo Thomas/ kiwete mzee aliyedanganya umriGame na kenge, Kai atatokea bench
Arteta anajua kucheza na hiz mind games
Kai anaingia wameshaloa kamba 3,
uwanja umeinama
Watoto mchele mchele wanapelekewa Moto View attachment 2783738
Tukipangiwa na Bayern, PSG au Barca nitawashukuru kweli UEFANiliwahi sema timu nyingi kule UCL Ni unga unga mwana ,Kuna Kenge zilinibishia Sana
Leo Bayern anamvizia free agent Sokratis aliyeachwa Arsenal
Huko UCL Ndio Kuna kina manjesta ambao wakicheza na baryen wanapaki basiView attachment 2783933
Mkuu hili Jambo tuliwahi ongea humu na Mkorea,wakati Ni vile watu wanakaza vichwaI am still surprised why City let Gundogan go? Not sure if city have already found his replacement. Yule bwana alikuwa anawabeba sana city kwenye critical moments.
His void will be felt this season