Kenge wakienda mapumziko, wanaweza wasirudi uwanjaniKevin Campbell
“We haven’t seen him(Declan Rice) enough besides Thomas Partey yet. But I think when those two play a number of games together they are just going to get better and better and better.”View attachment 2783494
Hawa ni kuwapiga wabaki nafasi za 12Kenge wakienda mapumziko, wanaweza wasirudi uwanjani
Game ngumu hapo ni luton town ambayo tunaicheza nayo 5 DecemberPoints ngapi tunabeba hapa, mkorea
Arteta aweke full kikos , tunataka kuona WIN WIN WIN WIN
Dharau zimekuwa nyingi View attachment 2783510
Dah! Wachezaji wa kiafrika tunaongopa saana umri, napiga hesabu jezi hii mwaka uliotoka na jinsi partey anavyooneka sura hiyo ni tayari miaka 25 hivi.
huyu jamaa pale kwa Simeoni alikuwa hapati injury , kuja Arsenal kila siku injury ,means alidanganya umri ,na hii Ni kawaida kwa waafrika wanachelewa kwenda ulaya , Kama hapa anasema ana 30yrs , unaweza kuta amepunguza hata miaka mitatu
Hiyo jersey ninayo ni ya msimu wa 2011/12. Maana yake hapo alikuwa na 18yrs, watu wa West Africa huwa na maumbo makubwa ni sawa lakini ukitazama face yake inasuggest umri juu ya huo.
Inawezekana kabisa hata kina Arteta wamebaini hilo ndio maana pamoja na umuhimu wake bado unaona wanataka kumuachia.
Kama kweli yuko atleast 2yrs above current age ni ngumu kuepuka majeruhi ya mara kwa mara kwa level ya intensity ya mazoezi na mechi pamoja na high demands za kocha uwanjani. Labda ndio sababu pia Arteta anampa club doctor hata kwenye international duties.
Ndio maana, mara nyingi me huwa ni mzito sana kuquestion maamuzi ya watu ambao ni full time professionals (Arteta et al) na wanafanya kazi week in week out na hawa watu.
Kuna a lot of details ambazo ni undisclosed zinazo tumika kufikia maamuzi husika, sisi kama mashabiki mara nyingi tunaona mechi live na picha za mazoezini ila mengi ya ndani hatuna taarifa za kutosha.
Daaah mkoreaGame ngumu hapo ni luton town ambayo tunaicheza nayo 5 December
Waliobaki wote FIMBO zinawahusu. Yan goal 2+
Westaham tutamfunga ila kitachafuka Sana, coz ni derby
Newcastle anaweza akala mkono, hili ni kama tawi letu kwenye kukusanya maokoto ya points
Kenge sioni sababu ya kutaka kuingiza team uwanjani. Watupe Ushindi wa mezani tu ili kuepuka dhahama
Jesus amekuja kuumia Arsenal jeraha la goti na akatibiwa kwa surgery ili lisijirudie ,juz hapa walisafisha pale paleHizi ni assumptions ambazo unaweza shindwa ku-defend. Ina maana Jesus, Martineli, Tierney Vieira wanaoumia mara kwa mara nao ni kwa sababu ya umri.
Kwanini Mesi na Ronaldo hawaumii mara kwa mara?
Mere unproven assumptions
Yani fixture yetu ikiwa hiviDaaah mkorea.
Yan game ngumu ni luton
Huo ndio ukweli ,Yani fixture yetu ikiwa hivi
1. Nyumbu
2. Aston Villa
3. Kenge FC
Niambie ipi game ngumu hapo?
Win win ya nioko , mtakiona cha mtema kuni hiyo jumamosi ninyi asenyetoPoints ngapi tunabeba hapa, mkorea
Arteta aweke full kikos , tunataka kuona WIN WIN WIN WIN
Dharau zimekuwa nyingi View attachment 2783510
Anadharau sana huyu pimbi ,tutamnyoosha humu na kwa aibu kubwa hatochangia tena kwenye hili jukwaa hadi mwaka uishe .Daaah mkorea.
Yan game ngumu ni luton
Sahihi kabisa, kwa soka la partey kama ingekuwa si kupiga fix umri wake, hana mpinzani pale, lakini ndio hivyo akili inataka, Mwili unagoma.
Hiyo jersey ninayo ni ya msimu wa 2011/12. Maana yake hapo alikuwa na 18yrs, watu wa West Africa huwa na maumbo makubwa ni sawa lakini ukitazama face yake inasuggest umri juu ya huo.
Inawezekana kabisa hata kina Arteta wamebaini hilo ndio maana pamoja na umuhimu wake bado unaona wanataka kumuachia.
Kama kweli yuko atleast 2yrs above current age ni ngumu kuepuka majeruhi ya mara kwa mara kwa level ya intensity ya mazoezi na mechi pamoja na high demands za kocha uwanjani. Labda ndio sababu pia Arteta anampa club doctor hata kwenye international duties.
Ndio maana, mara nyingi me huwa ni mzito sana kuquestion maamuzi ya watu ambao ni full time professionals (Arteta et al) na wanafanya kazi week in week out na hawa watu.
Kuna a lot of details ambazo ni undisclosed zinazo tumika kufikia maamuzi husika, sisi kama mashabiki mara nyingi tunaona mechi live na picha za mazoezini ila mengi ya ndani hatuna taarifa za kutosha.
Anadharau sana huyu pimbi ,tutamnyoosha humu na kwa aibu kubwa hatochangia tena kwenye hili jukwaa hadi mwaka uishe .
Chelsea chama la wana ,Chama kubwa London , England na dunia nzima
Yani fixture yetu ikiwa hivi
1. Nyumbu
2. Aston Villa
3. Kenge FC
Niambie ipi game ngumu hapo?
wewe malizana nao tu mzee
Unaweza kuta kaongopa hata mi5.huyu jamaa pale kwa Simeoni alikuwa hapati injury , kuja Arsenal kila siku injury ,means alidanganya umri ,na hii Ni kawaida kwa waafrika wanachelewa kwenda ulaya , Kama hapa anasema ana 30yrs , unaweza kuta amepunguza hata miaka mitatu