Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najua unaongea hivi maana utakimbia tu

Yaani nyie hata tukianza na

Kai Jorginho Vieira

Hamtoboi

Uzuri kwasasa hatuna huruma kabisa

Tutawapiga tuwazamishe mtaa wa 12 halafu mna ratiba ile ya kibabe ,kwa kejeri na dharau hizi , nawapa laana mtaishia nafasi ya 12 tena mwaka huu
 
hawana utofauti, wote UEFA =0
Masingeli usitake kutuaminisha Arse88 nayo ni timu kubwa.
Kenge FC hamna tofaut na N.Forest mna UCL Lakini small teams ,kwasasa mnagombea kubaki kwenye Ligi tu

Nafasi ya 8-15 ndio nafasi zenu, Jumamos ijayo tunawashindilia mbaki huko huko nafasi zenu za 12
 
Huna timu ya kubattle na Arsenal ,

Kenge FC mm nawachukulia Kama N Forest malengo yenu Ni kubaki kwenye Ligi tu , ukiniambia hata nafasi ya 7 utaipata nitakwambia mnahitaji kufanya kazi ya ziada

Mmetumia €1B kusajili Lakini bado hamna timu ya kugombea walau top 7

Mimi huwa nasema Kenge FC mmesharudi zama zenu za kugombea kubaki kwenye Ligi ,hata mtumie pesa kiasi gani
 
Edu Gaspar alikutana na bodi ya Fluminense FC siku ya Ijumaa juzi na inaonekana kama anajaribu kumtaka Mbrazil kiungo mkabaji Andre mwenye umri wa miaka 22 katika Klabu ya Soka ya Arsenal mnamo 2024.

André ni aina ya mchezaji ambaye atastawi Arsenal.

Ni hodari sana ns bora katika 1v1.

Sawa na Declan Rice, yeye ni mashine ya kushinda mpira katikati ya uwanja, uwezo wake wa kurejesha umiliki ni sifa kuu,.

Andre alitakiwa Sana na Liverpool dirisha lililopita , Andre ameitwa Timu ya Taifa ya Brazil baada ya Casemiro kuumia
 
Yule dogo Bitello Dili lake liliendaje?
 
Hapa tukifungwa, tumefungwa wote.
 
Hahaaaa ,
unawawapa laana mabingwa, unajitambua kweli wewe ? Sisi mabingwa wa epl msimu huu
Chelsea bingwa
 
Never forget that Thomas Partey
was ALWAYS destined to be an #Arsenal man
I cannot wait to see him back in action for us after the international break
View attachment 2782395
Dah! Wachezaji wa kiafrika tunaongopa saana umri, napiga hesabu jezi hii mwaka uliotoka na jinsi partey anavyooneka sura hiyo ni tayari miaka 25 hivi.
 
Dah! Wachezaji wa kiafrika tunaongopa saana umri, napiga hesabu jezi hii mwaka uliotoka na jinsi partey anavyooneka sura hiyo ni tayari miaka 25 hivi.
huyu jamaa pale kwa Simeoni alikuwa hapati injury , kuja Arsenal kila siku injury ,means alidanganya umri ,na hii Ni kawaida kwa waafrika wanachelewa kwenda ulaya , Kama hapa anasema ana 30yrs , unaweza kuta amepunguza hata miaka mitatu
 
Unawapa laana? 😂😂😂😂 boss wasamehehe Hawa kwani ni kenge tu na hawajui wasemalo
 
Nafasi ya 11-12 inawahusu
Wenzao Man Shitty waliweka mpk ahadi wataacha kutumia JF ila hawajatimiza na ilikuwa hivihivi wiki nzima walitufanyia Fujo weee ila ilipofika siku ya tukio baada ya kudundwa maneno yakawa meeeengi...sijui mara na wao waacheni wajipooze maana tumewafunga sana....sijui mara mwsho wa siku tutabeba kombe tu...kama tuliwauliza vile....Sasa na Hawa ni hivihivi unawaacha wabwabwaje wee...ikifika siku hyo tuombee tuwe na watu wte halafu tuone watachezea wapi huo mpira wao🤠🤠🤠....
 
Yah tuwaache watambe na maneno mengi , jumamos sio mbali
 
Kevin Campbell on Declan Rice:


“A bargain £105 million midfielder, He has come in and looked like he has been at the club for ten years. He has come in and just adapted.”

“Adapted to the fanbase. The price tag to him is nothing. He just plays his game and his attributes just suit what we do.”

“We haven’t seen him enough besides Thomas Partey yet. But I think when those two play a number of games together they are just going to get better and better and better.”

(via HITC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…