makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,589
Mwanangu wa nguvu, mtu hatari.Gabriel Jesus:
“Nina majukumu mengi Arsenal. Nilipochagua kuhama kutoka City kwenda Arsenal, Edu na Arteta walizungumza nami na niliweka wazi kwamba ningependa kucheza 9. Lilikuwa wazo la Arsenal, mimi kucheza 9.
Msimu huu umekuwa tofauti, tumekuwa na majeruhi na katika michezo michache iliyopita nilicheza katika nafasi zote tatu za mbele.
Kwa muda nilifikiri nilitaka tu kucheza 9, lakini niko hapa kusaidia timu. Nimebarikiwa na Mungu kuwa na kipaji hiki na uwezo wa kucheza nafasi zote tatu za mbele. Napendelea kutochagua. »View attachment 2779050
Mie wanangu partey, jesus, saliba.. wateja hawa sina haja ya kwenda mahakamani, naweza shinda kesi kupitia video call tu,REMINDER;
Tafuta mchezaji yeyote kwenye kikosi unayemkubali sana halafu kuwa mwanasheria wake mtetee against agenda zozote usikubali asemwe vibaya kila game tafuta comp za mazuri yake tu achana na mabaya.
Usikae kizembeView attachment 2778412
Mashabiki wa manjesta wamekimbia jukwaa Lao wamehamia hukuHii thread inakimbia sio masihara usipoingia siku moja next day unakuta page zimejaa
Jobless people football club ...Mashabiki wa manjesta wamekimbia jukwaa Lao wamehamia huku
Mashabiki Wawili wa mama cita wanakuja humu
,lazima thread ikimbie
Jobless mwenzetu, umefata nini humu mtoto wa 2000?Jobless people football club ...
kwani mkuu ban bado ujapigwa tuJobless people football club ...
Nimemsikia huko zenzychenko anahojiwa akaulizwa kati ya partey na rodri nani mkali akasema partey Rio akataka kubisha,amemtolea analysis nzuri sana,amesema rodri ni mchezaji wa system wakati partey ni mchezaji mwenye quality anafit kokote,akamwambia Rio kama anabisha aje amtazame Partey wakiwa mazoeziniI have no evidence for this but I’m pretty sure this was Arteta’s plan for the UCL KOs and big PL games at Etihad/Anfield:
Tomi-Saliba-Gab-Timber
Partey - Rice
Rock solid.
Tomiyasu & Timber having the ability to switch sides depending on where we want to invert is so good.View attachment 2779203
Mashabiki wa manjesta wamekimbia jukwaa Lao wamehamia huku
Mashabiki Wawili wa mama cita wanakuja humu
,lazima thread ikimbie
Nimeona hiyo interview ,pia wakati Partey na Rodri wapo Atletico ,Rodri alikuwa haanzi mbele ya Partey.Nimemsikia huko zenzychenko anahojiwa akaulizwa kati ya partey na rodri nani mkali akasema partey Rio akataka kubisha,amemtolea analysis nzuri sana,amesema rodri ni mchezaji wa system wakati partey ni mchezaji mwenye quality anafit kokote,akamwambia Rio kama anabisha aje amtazame Partey wakiwa mazoezini
Octopus yule jamaa ni mido kweli kweliNimemsikia huko zenzychenko anahojiwa akaulizwa kati ya partey na rodri nani mkali akasema partey Rio akataka kubisha,amemtolea analysis nzuri sana,amesema rodri ni mchezaji wa system wakati partey ni mchezaji mwenye quality anafit kokote,akamwambia Rio kama anabisha aje amtazame Partey wakiwa mazoezini
Arsenal kwakujua umuhimu wake huwa akisafiri ,anapewa daktari maalumu wa klabu awe naeOctopus yule jamaa ni mido kweli kweli
Katika pass 7 maybe mbili ndio back pass
Anaweza kucheza tough na soft touches
Nilishawai kuandika, Kama unataka uone ubora wa martinel, saka, odegard
Basi mtu mweusi partey akae pale dimbani awafanyie kazi chafu
hamis77 alifikiri Jorginho kaja ili Partey aondoke. Tukamwambia huyo jamaa ni hatariOctopus yule jamaa ni mido kweli kweli
Katika pass 7 maybe mbili ndio back pass
Anaweza kucheza tough na soft touches
Nilishawai kuandika, Kama unataka uone ubora wa martinel, saka, odegard
Basi mtu mweusi partey akae pale dimbani awafanyie kazi chafu
Hii inaitwa "partey alindwe kwa gharama yeyote ile"Arsenal kwakujua umuhimu wake huwa akisafiri ,anapewa daktari maalumu wa klabu awe nae
Arsenal physio Simon Murphy has travelled with Thomas Partey on international duty again.View attachment 2779990