arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Mkuu sasahivi ni suala la muda tu watoto wadogo Spurs wa draw tu sisi turudi pale nafasi yetu Rasmi....halafu tutawaonesha nn maana ya kuvuta telaπππ...na City asijichanganye akafungua gepu kama la mwaka jana...ndo itakuwa imeisha hyo hasahasa Timber akirudijitoe akili tu, hivi Asaninyau bado mnategemea msimu huu nataongoza ligi hata kwa siku 3?
Sasa wewe mpaka chama lako unalisagia kunguni...
Masingeli banaaa kwa kua yeye analelewa na dada yake basi anafikiria na wengine wote tunashiba kwa hisani ya mashemeji.
Habari mbaya kwenu mpaka Sasa bado hatujaanza na our strongest front 3 (Saka, Jesus, Martinelli) na tupo pale juujitoe akili tu, hivi Asaninyau bado mnategemea msimu huu mtaongoza ligi hata kwa siku 3?
Kuna yule nyumbu mwenzio mkali balaa, nahifadhi jina lake.Sasa Nyumbu kujiita nyumbu ndio kujisagia kunguni?
Sisi wenyewe Manyumbu tuko proud kabisa na hio nickname yetu.
We endelea kuziongepea hizi kondoo, mkizagamuliwa. UsikimbieSubiri tumpige ndugu yako Kenge FC,
Malengo mwaka huu mtuchangie points 12
Unyama unyama tuHapo Sasa Unaua mende kwa gobole
Hapa ukiwa na CF anayeweza kupokea hii mipira na kukimbia nayo golini au kuchenga beki mmoja/wawili na kuendelea kwenda golini au kutoa pass Kwa advancing teammate, tutafaidi zaidi hizo long balls.USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
Nianze kusema Makosa Yapo Mchezaji anaweza fanya kosa kwenye given task kimchezo hii ipo sana tu
Ila hapa nataka Nizungumzie kitendo cha Raya kuchelewesha kupiga goal kick je ni makusudi au ilikuwa kitu gani?
Maana karibu mara 2 kidogo wapinzani wamcatch kwenye upigaji wa mpira Tuzungumze kimbinu Zaidi ili swala!
Ukingalia Tactical Eye utagundua Raya kuchelewesha kupiga kule mpira ilikuwa ni maelekezo alipewa acheze hivyo
Lengo la Kufanya vile ilikuwa kukaribisha press ya Man city na kuacha gapes nyuma yao ambazo tulitakiwa kutumia, yaani wakija kupress Basi ipigwe ndefu inaswe na CF ambaye alikuwa nketiah
Sema shida inaonekana kama Raya alikosea ila iisue sio Raya issue ilikuwa effective pressing ya City ilikuwa ya hali ya juu
Kingine Arteta alihitaji kubeat hiyo press ya City kwa kupiga mipira mirefu Shida ikawa ni Nketiah kuwin ile mipira mbele sijui kimo au positioning
Ila Second half baada kuingia Kai nadhani sasa tulielewa Concept Why Raya alikuwa anapiga long balls hii iliwavuruga City na press yao kuwalazimu warudi chini kuitafuta mipira
Na mipira Mingi baada kuingia Kai aliwin mipira mingi kule mbele kufanya Arsenal kuretain posession
Baada ya mechi Guadiora akihojiwa alisema
" Raya ni mzuri kucheza Short and long balls hivyo ni vigumu kuzuia mfumo wao uliosababisha sisi Kufungwa"
Pep Guardiola on Arsenal:
"David Raya has the ability to play short and long so itβs not easy to control these balls.
Theyβre a fantastic team and they played really well."
ukiwa na systeam sahihi utafanya chochote kile ufanikiwe
AmigosView attachment 2777788
Anyone seeing Declan Rice as our future CAPTAIN?
Kwamba Odergardinho avuliwe u-captain au niaje?Anyone seeing Declan Rice as our future CAPTAIN?
Jacksoniii mapema tu lazima awalambe kijambio awa arse8ππππBila kumsahau Michael Jackson lazima awachezeshe Thriller pale darajani.
Wakandwe na Mudryk ndio vizur ili iwaume zaid.Jacksoniii mapema tu lazima awalambe kijambio awa arse8ππππ