Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila siku tunafungwa na City mnatuzomea.

Jana tumeshinda mnasema hatutafika mbali.

Tunashangilia ushindi wetu mnasema tunashangilia kama tumechukua ubingwa.

Mashabiki wa Arsenal tuwe na utaratibu wa kuomba dua usiku mana wachawi ni wengi😁
 
Baada ya kuwanyamazisha Manchester City jana pale Emirates our next PL match after a short international break we will be heading to the Stamford Bridge with Full fit Bukayo Saka, Martinelli and Thomas Partey.

We are coming for everything , Come on you gunners.
 
Kila siku tunafungwa na City mnatuzomea.

Jana tumeshinda mnasema hatutafika mbali.

Tunashangilia ushindi wetu mnasema tunashangilia kama tumechukua ubingwa.

Mashabiki wa Arsenal tuwe na utaratibu wa kuomba dua usiku mana wachawi ni wengi😁
Na siku tutakayokaa pale juu ya msimamo itabidi tuanze kutembea kwa makundi maana kuvamiwa na wenzetu ni jambo linalowezekana kabisa
 
FA wametuma madokta wakampime saka wahakikishe Kama kweli Ni injury ,wanahisi Arsenal wamedanganya ili apumzike

FA wanatarajia saka ajiunge na Timu ya Taifa

Hawataki apumzike kabisa wawe na huruma Basi
Mount, Sancho, rashford Hawa wote c wapo tu pale unyumbuni hawana kazi yoyote ya maana

FA wamekuwa wapuuzi sana, Kama tunakomoana hivi
 
Huyo dogo nilikuwa natumia had jina lake , but hatoshi kwa Arsenal hii ,

Soon watu wanaingia sokoni ,Kuna CF wa Fayernood yupo kwa list ,Kuna Toney ,Victor Osmhen

Mechi kama ile na Spurs ndio nilimchoka ,akipotea pale mbele Hana msaada Tena
Kuna yule foward wa Ac milan naye ana hatari
 
Arsenal expect Bukayo Saka to be fit for their clash with Chelsea after the international break.

#CFC

(@sr_collings)
 
Huyo dogo nilikuwa natumia had jina lake , but hatoshi kwa Arsenal hii ,

Soon watu wanaingia sokoni ,Kuna CF wa Fayernood yupo kwa list ,Kuna Toney ,Victor Osmhen

Mechi kama ile na Spurs ndio nilimchoka ,akipotea pale mbele Hana msaada Tena
Spurs wamempoteza Salah na wenzake pale mbele, Rashford na wenzake,
 
Kuna Comments humu huwa zimekaa kipresha Sana

Imagine Kuna mtu alikuwa analalama eti Raya Hana utulivu

Raya alielekwezwa kujiamini kwa Namna yeyote ili kuwa provoke opponent

Kuna Muda baadhi ya wachezaji pia walikuwa wanapiga mipira huko na kule ila Arteta aliwapigia kelele kwamba wasifanye vile

Game ilihitaji utulivu Sana ili uweze kuwapiga City

Matching with them then wafunge kupitia weakness yao
(Ake na gravidiol walikuwa Wana stretch kwenye back 5 wakati wa defense line Yao..kuingia kwa Martinel kulifanya na sisi tu stretch uwanja kuwapa rooms midfielder ku dominate game...

Bila kufanana nao Hawa city wanakudhalilisha Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…