Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nketiah ni takataka nyingie, nitakuwa wa mwisho kuamini anahitajika kwenye timu ya kuchallenge ubingwa, huyu ni mchezaji wa kina everton huko, namuona danny welbeck ndani yake.. bora BALOGUN.
Toa hiyo takataka tia hata saka, jesus arudi kati pale.

Kipi kimefanya matheo kova aendelee na game, diogo jota alikula kadi kwa namna hii hii.

Tunapata tabu ya kutoka pale chini, jorginho na declan wakekabwa saana anahitajika kiungo mnyumbulifu, kiungo fundi, tia partey huyo.
 
Mkuu niokoe na link nna muda niko chaka.
Nimedownload live tv na gato tv ila kote maruweruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…