Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bora Martinelli aliyetoka Majeruhi angeanza tu licha hana match fitness kuliko Mbahatishaji Nketiah anaweza score mechi 3 mfululizo then anaenda 10 games mfululizo hajascore
Itakuaje kama kumuharakisha mechi ya leo ikamsababishia majeraha yatakayomuweka nje kwa muda mrefu??? Kipi bora
 
Wajuzi wanasema ile foul ya Kovacic inatatanisha, ina sound kama ni red card lakini sio.

Ni kwa sababu mwili wa Kovacic ulikua chini, kama ungekua juu kidogo basi ingekua red card.

Ila ile ya pili inawezekana Oliver hakuiona vizuri kwa haraka haraka, ila baada ya slow motion review ilitakiwa apewe second yellow card.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…