Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo Pep kamuanzisha Ake akitegemea atakutana na Saka, badala yake atakutana na Jesus😀

Hizi mind games sometime zinasaidia!
 
Huyu joginho c juzi tu hapa alitoa Boko, partey angeanza tu ata Kama ametoka majerui

Nketiah wa Nini Sasa wakati unae Kai, mchezaji ambae anajua kucheza big games
 
Haya maneno ya mtangazaji wa Sky Sports yamenipa moyo kidogo.

Anasema:

'Everyone connected to the gunners are hoping today is the day'

Let's go Gunners.
 
Huyu joginho c juzi tu hapa alitoa Boko, partey angeanza tu ata Kama ametoka majerui

Nketiah wa Nini Sasa wakati unae Kai, mchezaji ambae anajua kucheza big games
Big what 😆😆😆
 
Baada ya game kuisha, huyu zinchenko inabidi aambiwe yupo arsenal kusakata kabumbu na sio harakati za kisiasa
 
Huyu joginho c juzi tu hapa alitoa Boko, partey angeanza tu ata Kama ametoka majerui

Nketiah wa Nini Sasa wakati unae Kai, mchezaji ambae anajua kucheza big games
Arteta kwenye pre-match press anasema Partey na Martinelli wote hawakuwa tayari kuanza mechi.

Na anaamini kikosi alichochagua ndio kinapaswa kuanza kwenye hii mechi.

Wacha tuone itakuaje.
 
Nataka kuona comments za watu wakisema bora angeanza Havertz 😆😆😆😆
 
Nataka kuona comments za watu wakisema bora angeanza Havertz
Wa kwanza ni Mimi

Angeanza Kai

Partey angechezeshwa hivyo hivyo ata Kama hayupo fit

Then martinel angetokea sub, no problem

Saka kupumzika pia no problem
 
Wa kwanza ni Mimi

Angeanza Kai

Partey angechezeshwa hivyo hivyo ata Kama hayupo fit

Then martinel angetokea sub, no problem

Saka kupumzika pia no problem
Kai Matunda 😆😆

So nani atoke aingie Kai?
 
Arteta ni boya sana..

Kwahiyo zile mbwembwe zote ndo maana yake nini?

Halafu kati anaanzaje Jorginho na Partey yupo?

Dah! Ukocha kazi kweli kweli!
Partey si alikuwa majeruhi, anarudi taratibu.

COYG💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…