Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna Chanzo kimoja kinaitwa Positional play ndiyo walikuwa wanachambua Leo kuelekea hiyo mechi
 
Arsenal fans huwa hatumpi heshima yake Martinelli ,nadhani mechi mbili tatu hizi tumemisi Sana shughuli yake


ESPN walitaja mawinga 100 Bora duniani , Martinelli yupo 10 Bora


Pia Ni mchezaji wa 7 EPL na 23 duniani kwa kuwa na Thamani kubwa .


But tumekuwa tuna mu underrate na kumchukulia kawaida

Speed

Goal scoring

Track back

Energy

Dribbling


Nadhani Sasa tutaanza kumpa heshima Kama tunayompa Bukayo saka
 
Umenena vyema!..
 
Daah humu ndani fantasy ni nyingi sana, yaani fikiri mtu anakuambia picha za mazoezi hazipo ili kutoa suprise ya martineli
yaani kwamba city wanaenda kushtukizwa na uwepo wa martineli.

Humu false hopes hazitaisha mpaka ukamilifu wa dahari yaani city the champion of Europe washtukizwe na uwepo wa martineli
hizi ni false hope kuelekea kipigo .
 
Tuliambiwa Newcastle mwaka huu ata challenge ubingwa hivi yupo nafasi ya ngapi

Mnaoangalia game zao mnawaona hata top 4 ?

Watamchomoa Nani pale maana Spurs anazidi kujichimbia pale

Title contenders wameshajulikana

City
Arsenal
Liverpool

After 20 games watabaki title contenders wawili tu

Nataka nijue hawa Newcastle sijawaangalia maana siwaoni top 6
 
Olivier Giroud Man of the Day!

Mike Maignan was sent off with a red card…

…and Giroud with huge save as emergency GK saves AC Milan's 1-0 win and send them to the top of the Serie A table.
 
Big up Akili kubwa
 
We all know Arsenal hawezi kubeba EPL , anaanza vipi kuitwa title contender wakati hata arsenal fans mnaelewa kabisa kuchukua ubingwa ni jambo lisilowezekana , kama team ilikuwa inaongoza kwa point 8 na matches zimebaki 8 still mkakosa ubingwa ni uthibitisho tosha kuwa ni rahisi sana jua kuchomoza west kuliko arsenal kuchukua EPL.

Huwezi kuchukua ubingwa unaanza vipi kuitwa title contender
si false hope hizi , Last year game karibu 19 za mwanzo watu walikuwa hawaamini kuwa arsenal atakuwa bingwa ikafika game ya 30 ikabidi tukubali hili kombe la Arsenal tukanyoosha mikono
.

Tulipokuwa tumesha surrender kabisa tunakuja kushangaa kumbe tulichokua tunakiamini tulikua sahihi arsenal hawezi kubeba EPL na tulifanya makosa ku surrender.

Fikiri watu hawa unawaaminisha vipi tena arsenal atakuwa bingwa si atakuona kichaa na ndivyo tunavyowaona humu false hopers.

Newcastle kacheza na Brighton, Liverpool, man city ila ana point difference ya 5 points & ana GD kubwa kushinda Arsenal, anakuja false hoper mmoja anaiponda Newcastle humu wakati hajacheza na big team hata 1.
 
| Pep Guardiola:

“Everybody knows we wanted Declan Rice, we could play him when Rodri could not play, but in the end Arsenal pushed more and wanted him more.

“We could not reach Arsenal’s offer in that position. We could not afford it, maybe if the price had been less. Normally when Manchester City spend this amount of money, it is considered crazy. When others spend it, how smart they are!

“Arsenal believed they had to do it. That’s more than fine. He is an exceptional holding midfield player.” [via Mail] #afc
 
Pep Guardiola on Mikel Arteta:

"I was pretty convinced that he would be good for Arsenal because I knew him here. Arsenal trusted him and the results are here. They have a manager for many years.

He knows the club. He loves the club. Better than that is impossible." [Mirror]
 
| Pep Guardiola on if Mikel Arteta is a ‘mini-me’

“No, not at all. I dress better. I am more elegant. My wife gives me the perfect outfit all the time! I see zero characteristics in him from me.

“His father and mother are different! All the success he has belongs to Mikel and his people at Arsenal – it’s down to them, not me, definitely.

“People say ‘ah yes, he was with Pep and learnt a lot.’ But I learnt a lot from him as well. People think it is always that way, how much I taught him. But he teaches me too and I learnt well.” [via Mirror] #afc
 
Mmeanza visingizio mapema hivyo. Huyo City mbona na yeye key players wake wengi hawatakuwepo
City mara nyingi amekuwa ananufaika anatukuta hatuna key players wetu wengi

Uliona Community shield alitukuta Jesus hayupo ,wengi walikuwepo ,uliona mziki wake

Sasa leo tutaishi nae vzr atake asitake


Kuna mechi tulimkamataga Sana hapo Emirates,Refa akaingilia Kati kuwasaidia tukanyimwa penalty wakaja kupewa wao na tukapewa Red
 
Halafu Masingeli alivyo na IQ kubwa akishasikia hizo kejeli za Pep anakuja kujitapa humu kua Pep na Supa kompyuta wamesema Arsenyau ni bingwa wa top foo
Pep kasema uhalisia sio kejeli

Kasema Title contenders Ni

Arsenal, city na Liverpool

Hapo kakejeri Nini?
 
Nimecheka Sana



️ Guardiola on Arteta:

“He’s a guy who is so demanding with the board”.

“He’s like: give me money, money to spend! He has this talent, too”.

“Sometimes it’s more like: Okay, what the club decides. He pushes everyone”, Pep says via @BeanymanSports.
 
Kuna watu walikuwa wanasema Pep alikuwa Hana Nia na Declan Rice

Pep Guardiola on Declan Rice:


"Everybody knows #ManCity wanted him. He could play not just when Rodri could not. At the end, Arsenal pushed more and wanted him more, maybe Mikel [Arteta] was more convincing than me, or the club itself, or their offer..."

[via @BeanymanSports]
 
Sasa hapo kachambua au ka-copy and paste
ana uwezo wa kuandika lugha hivyo?acha kumpa sifa za kijinga Aunt Hamis
 
Hii game naikumbuka
Before red card, ngoma ilikua 50/50 octopus partey anachafua tu dimba

Yule Refa mpuuzi akaanza kumtoa umeme partey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…