Mm Kama huniwez njoo na kejeri matusiMasingeli na Takwimu UCHWARA,mara duel won,mara inverted kumbe UHARO mtupu
Aunt Hamis na TAKWIMU zake UCHWARA,ni wa kumpuuza tu,mtu makini hawezi kamwe kufuatilia UHARO anaoandikaga huyu Aunt humu JFmsabato matusi ya nini?
Namjibu mpumbavu kutokana na upumbavu wakemsabato matusi ya nini?
Badili akaunt but Mimi siwezi kukuchekeaAunt Hamis na TAKWIMU zake UCHWARA,ni wa kumpuuza tu,mtu makini hawezi kamwe kufuatilia UHARO anaoandikaga huyu Aunt humu JF
Ukerewe inazalisha mashoga nowdays?Aunt Hamis na TAKWIMU zake UCHWARA,ni wa kumpuuza tu,mtu makini hawezi kamwe kufuatilia UHARO anaoandikaga huyu Aunt humu JF
Leo Brentford anawagonga TenaManchester City vs Arsenal last 12 games:
WWWWWWWWWWWW
33 - 5 on aggregate.
It's not rivalry but the
Definition of ownership.View attachment 2774165
Je wajua?Leo Brentford anawagonga Tena
Mzidi kushika adabu
Simlidanganya watu 7hag Ni elite coach
Kdb pia hayupoRecently, everytime we meet City, kuna key player wetu huwa ana miss.
Last season, game ya kwanza Emirates tulimkosa Partey ambae mfumo ulikua ushamkubali, akacheza Jorginho tukala chuma 3-1, though tulikua best team on the field.
Mechi ya marudiano Ettihad, kulimkosa Saliba akacheza Holding mwisho tukala chuma 4-1 na tulitawaliwa mwanzo mwisho.
This time may be different, though ilibaki kiduchu tumkose na Saka..
Nachotaka kusema safari hii odds zinaweza zikawa upande wetu coz wao wanamkosa mchezaji wao muhimu, Rodri.. So tuna nafasi nzuri ya kukatisha uteja wetu kwa City.
Mi nasema tusipomfunga Pep safari hii basi hatutamfunga tena mpaka atakapoondoka!
Me napambana na Europa ndio. Kombe ambalo pia haujawahi lishikapo achilia mbali hiyo UEFAWewe pambana na Europa aisee
Mmeanza visingizio mapema hivyo. Huyo City mbona na yeye key players wake wengi hawatakuwepoRecently, everytime we meet City, kuna key player wetu huwa ana miss.
Last season, game ya kwanza Emirates tulimkosa Partey ambae mfumo ulikua ushamkubali, akacheza Jorginho tukala chuma 3-1, though tulikua best team on the field.
Mechi ya marudiano Ettihad, kulimkosa Saliba akacheza Holding mwisho tukala chuma 4-1 na tulitawaliwa mwanzo mwisho.
This time may be different, though ilibaki kiduchu tumkose na Saka..
Nachotaka kusema safari hii odds zinaweza zikawa upande wetu coz wao wanamkosa mchezaji wao muhimu, Rodri.. So tuna nafasi nzuri ya kukatisha uteja wetu kwa City.
Mi nasema tusipomfunga Pep safari hii basi hatutamfunga tena mpaka atakapoondoka!
Oya usipaniki mzee,, Issue ni wewe upunguze Uongo basi. Masingeli unadanganya sana watu humu,,Wewe unawashwa, nimekutag ?ukiona haikufahi ujue haikuhusu
Acha usenge
Watu mnatunza risit balaaNaunga mkono hoja matusi tuwaachie nyumbuView attachment 2773961
Arsenal tuko vizuri, ila tusitegemee maajabu yoyote.
Tukicheza na timu kubwa ndo uhalisia wa Arsenal unaonekana.
FlanoooooooMsema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Last season Pep alisema Arsenal ipo kwenye mbio za ubingwa na anaiheshimu kisha msimu ulivyoisha akasema Arsenal imeshinda taji lake kubwa zaidi (kushiriki UEFA)
Msimu huu anatuita title contenders.
Ni same script
Flanooooooo
Dah mkuu unakeraaaaaaa hadi burudani.inshort ukikosekana humu kuna taste inakosekana
Kwa comment yako maybe if you dont understand football tactics, who knows? Ni aina ya wale watu wanaosema Messi ni bora kuliko Ronaldo, why? Sababu Messi Kashinda WC. Kwa hivyo bila WC asingekuwa bora kuliko Ronaldo. Ni watu mnaojudge vitu kwa matokeo badala kuangalia parameters zinazofanya mchezaji anacheza eneo husika na role yake ni ipi tactically, that's Y unaona stat km Duels etc ni upuuzi. Inshort bado ujawa kocha yani bado hujakutana na babuuTumechoka Takwimu za kipuuzi izo
Mara Duel won, mara pressing!