Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama mbwai ni mbwai tu

100% Kenge lazima akutane na balaa hilo
Kuna 80% saka atakuwepo, pia Leo jion tutajua Kama Nelli atakuwepo


City ajipange safari hii

Hadi Sasa lineup confirmed Ni


_Raya
White Saliba Maga Zinny

Ode Partey Rice

Jesus Kai Trossard


Had jion nitaleta info Kama Saka na Nelli watakuwepo
 


Mikel Arteta atazungumza na wanahabari saa 13:30 leo hii kuelekea mechi na Manchester City.
 
Lakini wewe Flano hata kama timu yako ipo maji ya shingo hukosi cha kubwabwaja
hili ni chama la wana, iwe mvua iwe jua lazima niwemo humu kuwapiga spana kina Masingeli & co-workers.
Tokea naanza kushabikia Epl watani zangu ambao pia ni marafiki zangu walikua ni Arsenal fans, hivyo utani wangu na misukule ya mzee Wenger ulianza tokea mwanzo kabisa wa makuzi yangu.
Nikiomuona shabiki yoyote wa Arsenyo hua namchukulia kama my brother from another mother.
Ninachowakubali Arsenal fans nyie ni watu poa sana hamnaga baya na mtu
 
Pep anajiandaa kuondoka EPL

The Athletic wanasema Pep mwenyewe anahusika kwenye kupendekeza majina ya warithi wake

Anawataja

Mikel Arteta
Di Zerbi
Michael Sanchez

For me Sioni Mikel akiondoka Arsenal ,namuona Di Zerbi alienda Kumrithi Pep
 
Yaani wewe inabidi Kesho mpigwe Tena Hakuna namna kwasasa
 
Flano

Kwasasa umekata tamaa na timu yako umeamua kuhamia huku?

Lakin niliwaambia kwasasa mnaona aibu kulamba matapishi yenu

Erik 7 hag a Dutch David Moyes

Master of Taliban Football

Superior of Haram footballView attachment 2773381
Masingeli hivi unatambua kua Roma haikujengwa kwa siku moja?
Huyu 7 Hag ni Ferguson mtupu, tukimvumilia ndani ya misimu 3 nakuhakikishia ule utawala wa Epl kipindi cha Ferguson utarudi tena pale United.
Misukosuko anayoipitia sasa hata SAF nae ilimkuta na watu kama kina Masingeli walishupaza shingo SAF afukuzwe.
 
Amka usingizini
 
Ila nyi jamaa, haiwezekani jukwaa zima muwe mnasikiliza ushauri wa watu watatu, masingeli na chawa zake. Amkeni nyinyi. Kataeni utumwa.


Zero UCL
Zero EUROPA

Mjitahidi next year mwende CONFERENCE league, japo tunajua na kule mtatia aibu tuu.
 
Kai anajitafuta mechi ngumu kama ya city sioni akianza
 
John Stones out of the game at the Emirates says Pep Guardiola
 
Mtoe Kai hapo muweke Nketiah
Aisee uliangalia mech ya fainal Community shield?

Kai as false 9 ,

Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz

Kai akicheza CF ana advantage nyingi kuliko nketiah

Kai atakusaidia kwenye kiungo , Aerial duels, kuzunguka uwanja mzima .

Kai as LCM ana mapungufu kuliko Kai as CF ana upungufu wa ball striking tu
 
Ila nyi jamaa, haiwezekani jukwaa zima muwe mnasikiliza ushauri wa watu watatu, masingeli na chawa zake. Amkeni nyinyi. Kataeni utumwa.


Zero UCL
Zero EUROPA

Mjitahidi next year mwende CONFERENCE league, japo tunajua na kule mtatia aibu tuu.
Ila nyumbu bhana
 
Tupunguze mahaba mkuu, kwa sasa Kai anatukaba bado anajitafuta

Ukiangalia last season Granit alikua anamsaidia sana Zinny kukaba na pia penetration passes kwenye box la mpinzani zilikua za kutosha

Kai bado hajafit kwenye mfumo, akifit wote tutaona mpira mchezo wa wazi kaka
 
hapo Kai ndio yupo kwenye peak yake,tusitegemee kama atakuja kuwa na kipya zaidi ya anacho-offer leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…