Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028

Zilikua point 15-18 now tumeambiwa ni point 12-15 kila match zinavyozidi kuchezwa na point zinapungua
 
Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028
Nilitoa Mtihan humu , Kama unajiweza weka laki 1 na Mimi laki 1

Tusipomaliza na points 12-15 na kuongoza kundi unakuwa umeshinda ,Cha ajabu unatafuta comment zangu kupata ahueni baada ya manjesta kuwa inakula vipigo

Je hii itapunguza maumivu ya vipigo ambavyo manjesta ataendelea kuvipata?
 
Gareth Southgate says he would never pick a player to play for England if his psychical well-being is at risk.

He clarifies he will only go on what Mikel Arteta tells him and that is that Bukayo Saka is in contention to play this weekend so that’s why he’s been picked for the upcoming internationals.
 
Shida sio kumaliza na 12points, shida ni uliziaminisha Kondoo za humu kua hamtafungwa wala kutoa draw mpaka mtakapoongoza group kwa points 15 - 18 halafu ukawaambia kabisa kua ni Uhakika.
Juzi mlivyogongwa na Lens mlikua na points ngapi?
Masingeli nakukumbusha tu hii ni Uefa ndugu yangu, haya sio mashindano ya FA wala Emirates cup, timu zote unazoziona humu ni ile cream iliyochujwa vizuri kutoka kwenye ligi mbalimbali za ulaya, ukija na matokeo yako ya mfukoni utaishia kujipiga ban tu mwenyewe.
 
Nikiangalia XHAKA anavyokiwasha pale Leverkusen halafu eti Arteta akamuacha na kumleta Kai naamini ule usemi usemao unaweza ukaruka MKOJO na kukanyaga MAVI
Masingeli anakwambia Kai ni mnyumbulifu sio kama Xhaka halafu pia Kai anaiongezea Asenyo kitu kwenye kuwin aerial duel, pia Kai yuko vizuri kwenye positional interchange.
Ngoja Masingeli Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi akuletee takwimu za Kai na Xhaka kwenye kuwin aerial duel na kunyumbulika ndio utakubali kwa Kai mmepata mashine ya kubeba makombe hapo Emirates.
Kai mmoja ni sawa na kina Xhaka 10 na Bruno watatu
 
Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028
Tena mimi namshauri aanzishe group la whatsapp kujiunga iwe Tsh 10,000, awe anafanya uchambuzi na kutupa taarifa. Hamis77 ni MCHAMBUZI NGULI utake usitake😁😁
 
Nikiangalia XHAKA anavyokiwasha pale Leverkusen halafu eti Arteta akamuacha na kumleta Kai naamini ule usemi usemao unaweza ukaruka MKOJO na kukanyaga MAVI
Kaka kuendelea kulaumu yaliyopita ni kosa kubwa, tusonge mbele hamna namna😀
 
Kuna sehemu nimesema hatutafungwa?

Nakushauri kwasasa usihangaike na mambo yab Arsenal ,

Manjesta mnashuka daraja mwaka huu

Hakuna timu inayojielewa itakubali kufungwa na manjesta

Unakumbuka mlivyoshinda pre season ulisemaje?

Au nikuletee hapa ?
 
Kama mbwai ni mbwai tu

100% Kenge lazima akutane na balaa hilo
Kuna 80% saka atakuwepo, pia Leo jion tutajua Kama Nelli atakuwepo

City ajipange safari hii

Hadi Sasa lineup confirmed Ni

_Raya
White Saliba Maga Zinny

Ode Partey Rice

Jesus Kai Trossard

Had jion nitaleta info Kama Saka na Nelli watakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…