Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tumepoteza points kisa maamuzi ya marefa mwaka jana na msamaha tukaombwa kwenye scenario zaidi ya moja.

Maamuzi hayakua hivi
Exactly.

Najua kila timu na shabiki wamechoka apologies na PGMOL wanapaswa kuwajibika na kurekebika zaidi. Hapo kwenye kurekebika ndiyo tunataka, ili makosa yapungue au yakome kabisa na mchezo uendelee. Sasa mambo ya kutokupangia refa mechi za timu flani ni shida. Sisi pia tutaweza kusema tuna marefa kadhaa wanachuki nasi hivyo wasipanggiwe mechi zetu. Chelsea nao hivyo hivyo. Kila timu ikifanyiwa hivyo je?
 
Ni fair kila timu iguswe na kila refa na siyo hili wazo la sasa. VAR haikuingilia, lakini ni games ngapi VAR haikuingilia?

Ikiwa kuna dalili za kamari watashindwa kufanya hivyo game nyingine isiyo ya liva?
 
Kuna chanzo nakiamini Sana

Kinasema Neto atajiunga na Arsenal January pamoja na Toney

Arsenal wanafanyia kazi hizo deals mbili


Maombi Yetu ,tufike January salama tukiwa kwenye michuano yote minne


Ongezeko la Pedro Neto na Toney litatuongezea nguvu zaidi


Mikel alimtaka Sana Neto mwaka Juzi ,now ameiambia Bodi anamuhitaji January ili kumpunguzia dakika za kucheza Bukayo Saka na Martinelli

Ikumbukwe Neto anauwezo wa kucheza winga zote mbili kwa ufasaha


Hivi karibuni Neto alikaririwa akisema yeye Ni kipenzi Cha Arsenal
 
Ni fair kila timu iguswe na kila refa na siyo hili wazo la sasa. VAR haikuingilia, lakini ni games ngapi VAR haikuingilia?

Ikiwa kuna dalili za kamari watashindwa kufanya hivyo game nyingine isiyo ya liva?
sawa kabisa

niliisikia ile audio na sikudhani kuna dalili za kamari au uonevu kwa liverpool. Ni wazi kabisa walikosea, wakasingizia sheria zao kuwa mpira ulisharuhusiwa kuendelea hivyo wasingeweza kurudisha nyuma tena. walikosa busara na hii ni incompetence kwa upande wao. Suala la incompetence ni bora kushughulika nalo kwa kuwaondoa kabisa kwenye game siyo unawatoa kwenye game za timu flani halafu unawaacha wakaboronge kwa wengine.
 
Con Harrison

Anasema

Arsenal have had long standing interest in pedro Neto as I broke in July last year. Mendes trying to get a move for Neto again to arsenal with arsenal being extremely keen.
 
Southgate sijui yukoje

Arsenal wamemwambia bado hawajamfanyia assessment Saka ,

Yeye kamuita kwa mechi za kirafiki
 
Yaani juzi ile game ya False Hopes Fc waliyonyukwa, nikawa najiuliza au kuna sheria mpya mimi sizijui.

Nikajiuliza maybe mpira umekuwa kama boxer na ufc siku hizi, kwamba ushindi ni k.o af ball possession na kuovalodi ni kwa points.

Maana jamaa wanapiga pasi 1234474 ila matokeo sasa. Arsenal wameshinda kwa U.D dhidi ya Lens
 
England kuna ujinga mwingi sana kwa waamuzi wao....na wanazi cost sana timu...labda hili suala la Liverpool linaweza kuwa ni kama ukombozi huko mbele tunapoenda maana ujinga umezidi sana
 
Wenye supa kompyuta naomba watuangalizie City watakula goli ngapi, Havertz atapata penat y kufunga tena?
ngoja Masingeli aje azipige kamba kondoo za humu juu ya Supa kompyuta ilivyowatabiria kubeba kombe la Mapinduzi.
Unaambiwa Li Supa Kompyuta linashindwa kutofautisha Asenyo na Lipuli Fc maana zote zina 0 Uefa cup.
 
ngoja Masingeli aje azipige kamba kondoo za humu juu ya Supa kompyuta ilivyowatabiria kubeba kombe la Mapinduzi.
Unaambiwa Li Supa Kompyuta linashindwa kutofautisha Asenyo na Lipuli Fc maana zote zina 0 Uefa cup.
Masingeli anaijulia sana mikondoo yake. Aliwaaminisha kwnye group stage wanachukua point zote, nayo ulivyo mikondoo ikakubali. Leo anakuja kuwapa makondoo yake matumaini kuwa hakuna timu isiyofungwa.
 
Masingeli anaijulia sana mikondoo yake. Aliwaaminisha kwnye group stage wanachukua point zote, nayo ulivyo mikondoo ikakubali. Leo anakuja kuwapa makondoo yake matumaini kuwa hakuna timu isiyofungwa.
Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli.
 
Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028
Dah mkuu bravo,unafukua makaburi mno.
Niliwahi kusema na nasema matokeo yasiyotarajiwa wakati mwingine yana faida kwa watu wagumu kama arteta na ego yake.

Namhurumia KAI siku arteta akiamua kumuacha,atamsahau kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…