Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,107
- 3,191
Unashabikia timu gani?Hizi ndo false hopes tunazozisema kila siku. Ac milan alifungwa na lens akachukua UEFA , arsenal nae kafungwa na lens atachukua UEFA .
UEFA haichukuliwi kwa kufungwa na lens. Waulizeni chelsea, man utd na liverpool ni jinsi gani wanachukua kombe na si hivyo vi false hope vya kufungwa na lens ndo uchukue kombe.
Unashabikia timu gani?
Nimeuliza timu siyo kikundi cha wakulimaMadogo janja LENS.
Nimeuliza timu siyo kikundi cha wakulima
Huku mwisho umetaja timu au vikundi vya walevi?Kwahiyo unataka kusema Arsenal kafungwa na kikundi cha wakulimaso arsenal ni kikundi cha ngoma kimefungwa na kikundi cha wakulima.
Njoo ucheki game zinakutana TEAMS na si vikundi kama jana leo saa 4 …. NEWCASTLE VS PSG.
Nyi jamaa ndo maana huwa mnajinyongaga.
Nyi jamaa ndo maana huwa mnajinyongaga.
Kwhyo mkuu timu haziruhusiwi kufungwa au🤠🤠🤠....naanza kuhisi ww unashabikia Nyukesto kijanjajanja ila ni the gunners bdo tena inawezekana ndo una uchungu na timu kuliko wte sisi hmu ndani🤠🤠🤠...kile kipigo cha jana kimekuuma sana mkuu🤠🤠...ila usijali tutarekebisha makosa mkuu....Yaani ni false hope kibao kwa fans wa arsenal, fikiri mtu kama huyu alivyojaa matumaini bandia yaani yeye kashaamini kufungwa na lens tayari ni kiashiria cha kuwa bingwa wa UEFA.
Kuna muda unashangaa hawa majamaa wanakuaje na false hopes za namna hii , ubaya wa false hope ndo kisababishi cha kujinyonga pale mambo yanavyoenda sio.
Angalia ni mashabiki gani wanaongoza kwa kujinyonga kama si Arsenal hii yote si sababu ya kufungwa, maana kila team inafungwa sababu kuu ni kupewa false hopes.
Kuna mtuu alikuambia arsenal lazima iongoze kundi kwa point15-18, saivi kashusha ni point 12- 15yaani mpaka tufike november itakuwa ni sio mbaya hata tukibeba kombe la EUROPA
Kwhyo mkuu timu haziruhusiwi kufungwa au....naanza kuhisi ww unashabikia Nyukesto kijanjajanja ila ni the gunners bdo tena inawezekana ndo una uchungu na timu kuliko wte sisi hmu ndani...kile kipigo cha jana kimekuuma sana mkuu...ila usijali tutarekebisha makosa mkuu....
Kipindi sisi hatuchukui kitu nyny wenzetu Nyukesto mtakuwa mmechukua nini labda🤠🤠🤠Kama unafikiri mimi bado ni false hoper utaendelea kujidanganya , mimi nimeondoka mazima na vipigo kama hivi mnavyovipata ndo furaha kubwa sana kwangu yaani na enjoy kinomanoma.
Nyinyi mpaka kufika may mtakuwa kama last season tu false hopes kibao then hakuna kikombe chochote mtakachochukua .
Jana game before lens mliweka line up mkajua mtawapiga nyingi sasa game imeisha mmepigwa viwili vya halali mnaanza kutafuta hope nyingine kwamba lens alimpiga ac milan akachukua UEFA yaani mnataka kujifananisha na big club kama Ac milanmnajua ina UEFA ngapi? Na nyinyi mnazo ngapi.
Kipindi sisi hatuchukui kitu nyny wenzetu Nyukesto mtakuwa mmechukua nini labda
Sisi ndo kwanza tunatengeneza team within 20 years tutakuwa na makombe yakutosha tu epl kibao mpaka uefa.
Wewe within 20 years nitajie kombe ulilochukua na katika miaka 20 hii una epl ngapi na uefa ngapi?
Hizi Kima zinafikiri Uefa ni kama ngao ya jamiii au kombe la mwanaFA.Kama unafikiri mimi bado ni false hoper utaendelea kujidanganya , mimi nimeondoka mazima na vipigo kama hivi mnavyovipata ndo furaha kubwa sana kwangu yaani na enjoy kinomanoma.
Nyinyi mpaka kufika may mtakuwa kama last season tu false hopes kibao then hakuna kikombe chochote mtakachochukua .
Jana game before lens mliweka line up mkajua mtawapiga nyingi sasa game imeisha mmepigwa viwili vya halali mnaanza kutafuta hope nyingine kwamba lens alimpiga ac milan akachukua UEFA yaani mnataka kujifananisha na big club kama Ac milanmnajua ina UEFA ngapi? Na nyinyi mnazo ngapi.
Newcastle 2 PSG 0 Half TimeKwahiyo unataka kusema Arsenal kafungwa na kikundi cha wakulimaso arsenal ni kikundi cha ngoma kimefungwa na kikundi cha wakulima.
Njoo ucheki game zinakutana TEAMS na si vikundi kama jana leo saa 4 …. NEWCASTLE VS PSG.
Bonge la gameNewcastle 2 PSG 0 Half Time
Newcastle 3 -0 PSG 0 sometimes tukubali kupokea criticism toka kwa rivals tusipende kujitutumua but in reality team yetu ipo ipo tuKumbe mnatengeneza timu...miaka yte mlikuwa wapi kutengeneza mkuu au mlikuwa championship huko....kama ni hivyo na sisi Sasa ndo tunatengeneza timu Sasa...ndani ya miaka 20 na sisi tutakuwa na makombe kibao kuliko nyny