Kila mtu abaki kwny group lake huku group la Arsenal unafata nn...nendeni kule kwenu mkaangalie namna ya kufanya msipoteze mechi zilizosalia za kundi ndugu zetu Man U
Maneno ya mkosaji haya mkuu🤠🤠...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi 🤠🤠🤠