Hapa nikasema kimoyo moyo, Ramsdale kazi anayoHaya ni Mageuzi ya Football so ni au Ubadilike au utabaki unashabikia Kitu ambacho hujui unashabikia nini
Golikipa David RAYA hapo ni left sided Center back Arsenal inapojenga Shambulizi
Gabriel MAGALHAES anatoka kuwa Center back anakuwa Left Back
Alexander ZINCHENKO anatoka kuwa Left Back, anakuwa Kiungo pembeni ya Declan Rice
Mzee wa jambia View attachment 2769999
Huyo dogo mwenye Rasta hapo ni nani? Akichecheza Leo, kesho Chelsea wanaleta bid.
Partey akiwepo odegaard huwa anacheza sanaMy Dream midfieldView attachment 2769500
Angeanza Rams tuRaya startView attachment 2770371
Rams kashapewa Carabao na FA cupAngeanza Rams tu
Dirisha kubwa la usajili lijalo tujiandae🤠🤠... Ramsdale watu watapita naye...hawezi kuvumilia huu udhalilishaji...ila hakuna namna...it was worth a while to have him as our no 1 goalkeeper....tutawauzia Man U awasaidie kupanda daraja maana Hawa ndugu zetu watakuwa wanacheza Championship huko...ni ndugu zetu wa damu kabisa Hawa...hatuwezi kuwatupa🤠🤠Raya startView attachment 2770371
That's gud, martinel tunamuhitaji zaidi game na Kenge fcArteta set to give both Trossard and Partey minutes tonight in some capacity in preparation for Man City this weekend
Martinelli set to resume training this week, touch and go to feature vs Man City, Arsenal optimistic to have him available on the bench
Kaanza RayaRumors: Ramsdale starts