Mmeona hafungi anazurura tu uwanjani ikabidi mumpe penalt.Dah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?
Nimependa hii sapoti
Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka
Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again
View attachment 2768500
Mchezaji aloongoza kukaba na kupiga viatu wapinzani uwanjani jana ni braza Kai Havertz....kazi tulomtuma anaifanya vizuri sanaMmeona hafungi anazurura tu uwanjani ikabidi mumpe penalt.
Hivi player of the match anapigiwa kura?Dah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?
Nimependa hii sapoti
Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka
Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again
View attachment 2768500
Huyu labda awe anafunga Penati tu,zaidi ya hapo hana jipya,ni Mtumishi HewaDah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?
Nimependa hii sapoti
Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka
Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again
View attachment 2768500
Picha la kutisha😱Declan Rice and Thomas Partey Will be Available for selection against Manchester City nextView attachment 2768765
Vitu tunavyopenda kusikia hivi🤠🤠🤠...halafu ndugu zetu Liverpool kama nimesikia mechi ijayo wanacheza na Brighton 🤠🤠Declan Rice and Thomas Partey Will be Available for selection against Manchester City nextView attachment 2768765
Na Brighton walivyo unpredictable, utashangaa hiyo game wanabadilika linapigwa boli hatari.Vitu tunavyopenda kusikia hivi🤠🤠🤠...halafu ndugu zetu Liverpool kama nimesikia mechi ijayo wanacheza na Brighton 🤠🤠
Ya Arsenal page official wanaweka majina zinapigwa kuraHivi player of the match anapigiwa kura?
Sanchez alipotua unyumbuni hayakuoita ata masaa 6, alimuambia wakala wake wakatengue mkataba arudi zake the GunnerNimepata taarifa mashabiki wanajiandaa kulipigia kura goli la Kai Kama Goli Bora la mwezi kwa Arsenal
Havertz kufunga bao ilikua ni hamu ya kila mchezaji na mtu ndani ya Club ya Arsenal na hilo limeonekana baada ya Post yake Instagram ambayo ilijibiwa na wachezaji pamoja na viongozi wa Arsenal kwa furaha na kuonesha imani kubwa kwake.Sanchez alipotua unyumbuni hayakuoita ata masaa 6, alimuambia wakala wake wakatengue mkataba arudi zake the Gunner
Arsenal is a big lovable family, real meaning of home sweat home
Huyu ni MTUMISHI HEWA tu anakula Mshahara wa bure,hana impact yoyote kwenye Timu hivyo awepo au asiwepo ni SAWA tu,huyu ndio inatakiwa AUMIE awe nje hata msimu mzima hakuna shida,ni UHARO tu kama MIHARO mingineHavertz kufunga bao ilikua ni hamu ya kila mchezaji na mtu ndani ya Club ya Arsenal na hilo limeonekana baada ya Post yake Instagram ambayo ilijibiwa na wachezaji pamoja na viongozi wa Arsenal kwa furaha na kuonesha imani kubwa kwake.
#Umoja
View attachment 2769026
Hili ndo tatizo kuangalia mpira kwa kukariri, unaposema Kai ni mtumishi hewa unamaanisha nini?Huyu ni MTUMISHI HEWA tu anakula Mshahara wa bure,hana impact yoyote kwenye Timu hivyo awepo au asiwepo ni SAWA tu,huyu ndio inatakiwa AUMIE awe nje hata msimu mzima hakuna shida,ni UHARO tu kama MIHARO mingine
Namaanisha hana mchango wowote kwenye Timu zaidi ya kurukaruka tuHili ndo tatizo kuangalia mpira kwa kukariri, unaposema Kai ni mtumishi hewa unamaanisha nini?
Hadi sasa Kai bado hajawa vizuri miguuni akipokea mpira kama wenzake (anacheza kawaida siyo vibaya, wala sio vizuri), lakini defensively Kai ana mchango mkubwa kuliko Viera.
Wa kumuweka Kai benchi ni hadi Partey apone, namba yake acheze Declan Rice, au kwa mechi zisizo hitaji physicality kubwa, acheze Fabio Viera
Hadi sasa kitu anachonikera Kai ni kuwa na kama low confidence akiwa na mpira, hauwezi ukamuona anapiga penetration pass kama Fabio Viera.Namaanisha hana mchango wowote kwenye Timu zaidi ya kurukaruka tu
Unaendeshwa na mihemuko😅😅Imagine pale kwa nketiah ndo ingekuwepo hii mashineView attachment 2769185