Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nelson ana stahili kupata dakika 70 kwenye game kama izo,

Jesus anastahili kua namba 9 kabisa
 
Ila wabongo kwa ujuaji😀🤣🤣, ashuke kiss nini???😀🙄🤔.
👉Where do you get the guts, to determine someone future??
I didn't want to offend anyone.. kwa ninavyoona, now days kwenye umri wa miaka 27 kwa straika unategemea awe amesha hit the peak.

Ni kama ulivyowaona wakina Zlatan, Kane, Tevez, n.k. though kuna some exceptions.

So kama ni kusajiliwa na timu kubwa anaweza ila sio kwa pesa ndefu kulingana na umri wake na level ya soka aliyofikia.

I may be wrong by the way so unaweza kunirekebisha.
 
👉 I mean no malice to nobody 🙏
Kuna watu ni wazuri wakiwa wadogo, wengine wakiwa middle age mfano 25-28.
👉Wengine hata 30, Kumbuka usajili una Malengo ya mda mfupi na mrefu mzee.
👉USI sahau masuala ya usajili ligi ya uingereza 😀🤣, 150 hiyoo
 
Ligi ina mechi 38 na ndio kwanza tumecheza mechi 7 tu, kwenye hizo mechi 31 tegemeeni surprise za kutosha.
Ligi ndio kwanza mbichi, nyie endeleeni kupeana false hopes halafu mwisho wa msimu mkimbie jukwaa.
Mkuu kwa hesabu za harakaharaka msimu huu mkifungwa gemu chache basi zitakuwa 10 maana yake point 30 zinaondoka hzo....Sasa jumlisha na droo mtakazopata...nyny mnaingia rasmi kwny group la watoto wadogo...levo za ukubwa jinga mshapita...Sasa mpo kwny watoto wadogo...pambaneni Nyukesto wasiwaache huko kwny levo za watoto wadogo🤠🤠
 
Nilifikiri ana miaka 29 kumbe ni 27, sio mbaya sana but soon atashuka kwenye peak yake.
Kumbe 27? Sawa na kina Toney

Kuna CF moja nimeona Arsenal wamemuweka kwenye list ana umri mdogo ,nimesahau jina lake ana record nzuri msimu huu
 
Hapa Arteta alikua unampanga awe anatoka nje ya dimba ili kuongeza namba ya wachezaji kwenye build up.

Zikawa zinapigwa sambusa tu!
View attachment 2768349
Ramsdale muoga kucheza Kama Beki wa Kati tofaut na Raya

Tuna mechi ngumu vs City ,ikipita hiyo , Partey anarejea , nataka Midfield ya Party Rice na Ødegaard kwenye mfumo huu 4-3-3 ,
 
Kuna timu hazitaleta timu uwanjani.

Akirudi na Timber ndo kabisaa watakubali yaishe watupe kombe letu.
Yule mwamba mpk mwakani mwezi wa tatu huko....angekuwepo Timber aisee mpk Sasa mechi ambayo tungekuwa tumeruhusu goli ni ile ya Tottenham....hzi nyngne isingetokea...maana tumefungwa kienyejienyeji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…