Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Daah liva amwcheza kiume sana lakini ndio hivyo wamejifunga dakika za jioni
Hana dreadNketiah, Chelsea hawamuoni??
VAR ina ajenda gani, kila nikiangalia goli la Diaz naona alikuwa ONSIDE..
Msimu uliopita ilitunyonga sisi.
Msimu Liverpool anachukua kombe alipewa goli la offside nadhani ilikuwa game na west ham sijui, sina hakika.
Dhidi ya Liva Spurs anacheza kwa kurelax kuliko alivyocheza na sisi.
City kafa
Nyumbu kafa
Jesus ana threat pia akicheza pembeni kama LW.Martinell out
Troussard out
Jesus LW
Why not Nelson???
Nyie Kima timu kubwa zote jana zimefungwa, kama umekaona katimu kako jana kameshinda basi jipige kifuani mara tatu kisha useme sisi ni Mid Table Team(MTT)City kafa
Nyumbu kafa
Huyo mwamba nimemkubali, ana utulivu wa hali ya juu SanaKwa ninavyoona performance ya Raya, ni dhahiri Ramsdale anaenda kumuachia no. 1 spot.
Raya anatishia amani aisee, anapiga mipasi kama hana akili nzuri.
Huwa ananifurahisha zaidi akienda kucheza mipira ya juu.. nyiee!
View attachment 2767987
Anachokifanya Raya kwenye hizi mechi nne mashabiki wa United wamekisubiri kwa onana kwa miaka 8Kwa ninavyoona performance ya Raya, ni dhahiri Ramsdale anaenda kumuachia no. 1 spot.
Raya anatishia amani aisee, anapiga mipasi kama hana akili nzuri.
Huwa ananifurahisha zaidi akienda kucheza mipira ya juu.. nyiee!🙌
View attachment 2767987
In terms of kutibua build up sisi tulikua vyema kuliko Liva.Ishi humu……North London derby
Zimebaki mechi 3...mkidundwa hzo🤠🤠🤠...rasmi top 4 muisahau mgombanie nafasi ya conference league huko....hzo mechi 3 ni dhidi ya Man City...Liverpool na Chelsea....yaani mjitahidi mbebe points 9🤠🤠Nyie Kima timu kubwa zote jana zimefungwa, kama umekaona katimu kako jana kameshinda basi jipige kifuani mara tatu kisha useme sisi ni Mid Table Team(MTT)
FA jana waliweka mtego kwa timu zinazotakiwa kuingia top4 msimu huu lazima zidondoshe 3points, mlivyokua na akili mbuzi mkashindwa hata kusanuka, Akili mtu wangu sio kila kitu mpaka mfundishwe darasani.
View attachment 2768054
Ligi ina mechi 38 na ndio kwanza tumecheza mechi 7 tu, kwenye hizo mechi 31 tegemeeni surprise za kutosha.Zimebaki mechi 3...mkidundwa hzo...rasmi top 4 muisahau mgombanie nafasi ya conference league huko....hzo mechi 3 ni dhidi ya Man City...Liverpool na Chelsea....yaani mjitahidi mbebe points 9