Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🟑 π—§π—˜π—”π— π™‰π™€π™’π™Ž


Jorginho skippers the side
Smith Rowe racks up 100th appearance
Sagoe Jr makes debut

COME ON YOU GUNNERS!View attachment 2764341
Kai magoli piga kazi baba, leo Asaninyau tunaiweka kwenye mabega yako, mimi na Arteta tunaimani utaivusha salama Asenyo msimu huu, Ballon D'or 2024 ni yako hauna mpinzani.
Leo Kai Havertz asipopiga hatrick aulizwe Masingeli, Le captain Jojinyo yupo leo Brentford anakula mkono.
Wapi Mbeumo na Wissa

Leo mashabiki wa Brentford wanaenda kujipiga Ban wenyewe humu JF.
Nacheka kama mazuri vile



#Asenyo Kondoo
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
 
sahv utakuwa mpoleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa siangalii mechi kama hizi ambazo wachezaji wengi wa timu ya kwanza hawapo, huwa tunacheza kama mid table team.

Mnaoangalia mpira vipi maendeleo ya Havertz au ndo bado anaendelea alipoishia?
Kai leo kajikaza kaza kiasi.
 
Huwa siangalii mechi kama hizi ambazo wachezaji wengi wa timu ya kwanza hawapo, huwa tunacheza kama mid table team.

Mnaoangalia mpira vipi maendeleo ya Havertz au ndo bado anaendelea alipoishia?
Kai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.
Daaaahhh mwanangu mwenyewe Mwaisa (Wissa) pamoja na Mbouma leo migoli ilikua inawakatalia kuingia wavuni yaani kila wakilenga goli mpira unaishia kugonga besela au unatoka nje.
Jini katoka ila mganga hana hamu yu taabani.
Arsenyo mechi inayofata wacheze tu na Liverpool kisha wapewe kombe lao maana Masterclass, The genius, Tactician hata akiwapanga Ball boys first eleven bado ana uhakika wa kuchukua 3points.


#Arsenyo Treble
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
 
HIKI KIKOMBE MWAKA HUU TUNAPITA NACHO

𝗖𝗔π—₯𝗔𝗕𝗔𝗒 𝗖𝗨𝗣 𝗗π—₯𝗔π—ͺ

Mansfield
Port Vale
Ipswich
Fulham
Manchester United
Newcastle
Bournemouth
Liverpool
Chelsea
Blackburn
West Ham
Arsenal
Everton
Burnley
Exeter
Middlesbrough

#CarabaoCup
 
Sio rahisi hivyo,acha kutuaminisha humu JF kwamba tuna Timu ya maana kuliko wengine wakati ni papatupapatu tu(refer mechi na Totenham),hao Westham usiwachukulie poa aisee kwa wachezaji wakina Nketiah,Kai nk
 
Kwa kauli kama hii ndio hua unawatbua kina Flano na genge lakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
| Mikel Arteta on Aaron Ramsdale’s quality:

β€œI don’t think I’m the one to ask the quality of Aaron Ramsdale, because I was the one that I brought him when everyone was questioning that decision.” [@arsenal] #afc
 
Kwhyo wameona wawaweke Man U na Newcastle wacheze wnyewe kwa wnyewe sio.....hii game Newcastle anadundwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…