Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Epl ya sasa inabidi ushinde hata kama unakosa key players, na ndo kitu kimefanya arsenal muachie ubingwa msimu uliopita.

Pep msimu huu ana majeruhi
KDB
Stones
Bernado silva
Grealish
Kovacic

Ila kachukua 18 zote
 
yaani ARTETA kwa akili zake za KIMATAKO akaona kafanya jambo la maana sana kumuingiza Kai na Jorginho na kumuacha UHARO Nketiah ndani
Arteta ana USENGE baridi sana,nitaendelea kuandika humu kwamba Kai Harvert ni FURUSHI kama FURUSHI la MAVI,halafu anakuja MJINGA anakwambia Kai ni sawa na Ozil,khaaa
 
Timu yako imecheza na spurs?
Kama hyu unayeongea naye ni Man U tyri walishacheza naye na matokeo yanajulikana ila kama ni Chelsea nawashauri hata wasipeleke timu uwanjani maana watakachofanywa na hivi vijeba watajuta
 
Kama hyu unayeongea naye ni Man U tyri walishacheza naye na matokeo yanajulikana ila kama ni Chelsea nawashauri hata wasipeleke timu uwanjani maana watakachofanywa na hivi vijeba watajuta
Hata kujibu tayari au bado anaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…