Ngao tumechukua wakiwa full fit ama?Na city nayo ikiwa kamili jee tuseme mpo full fit squad na city wako full fit squad aisee city ni dimension nyengine wale
They are regarded as the best team right now for a reason na wengi wanaojua mpira wanalijua hilo ila still mtakuwa na something to prove mkiwa full fit
Toney tabia zake hazifai pale. Vlahovic alitakwa akafinga sidhani kama atafuatwa tenaArteta aache ujinga kwenye maamuzi.
Vilahovic/toney wapo tu
Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyo
OkayNimechelewa kuona text yako mzee
Timu yako ishacheza na Spurs?Sasa unashindwa kumfunga Spurs halafu uutake ubingwa.
Game week 6 droo 2 bado hujacheza na City, Liverpool, Newcastle, Brighton. Amkeni nyie mwaka huu hamna ubavu wa kugombania ubingwa.
Pale wa kuondoka ni Nketiah...hata akiwa na mpira unajua uhakika wa kufanya jambo sahihi ni mdogo sana....ESR akipata dakika za kutosha we have a baller in him....anaficha mpira....anapiga pasi sahihi na akiwa karibu na lile goli unajua linaweza kutokea lolote....ila braza Nketiah Sasa....yy anajua kutoka nduki tu ndo silaha yakeJesus yeye na kipa kapaisha
Nketiah yeye na kipa kamlenga kipa
Sahihi!!!. Ila hawa beautiful player wetu kina nketiah hawatufikishi nchi ya ahadiToney tabia zake hazifai pale. Vlahovic alitakwa akafinga sidhani kama atafuatwa tena
Still hio mechi naiona ni draw au city atashinda kwa low margin 1-0 au 2-1Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyo
Sasa Emile namba yake si ndiyo anakaa Kai fundiPale wa kuondoka ni Nketiah...hata akiwa na mpira unajua uhakika wa kufanya jambo sahihi ni mdogo sana....ESR akipata dakika za kutosha we have a baller in him....anaficha mpira....anapiga pasi sahihi na akiwa karibu na lile goli unajua linaweza kutokea lolote....ila braza Nketiah Sasa....yy anajua kutoka nduki tu ndo silaha yake
Ni ngumu unless kama wings zetu wangekua wamemaster kuscoreSahihi!!!. Ila hawa beautiful player wetu kina nketiah hawatufikishi nchi ya ahadi
Hivi kocha wa strikers pale arsenal ni nani?Ni ngumu unless kama wings zetu wangekua wamemaster kuscore
Kwamba spurs walikuja wakiwa na uhakika wa kushinda πππHahaa very funny.
Kwa arsenal iliyopita miaka kadhaa nyuma anakosa key players kama
partey
Timber
Trossard
Martinell
Na bado kwenye Derby kama hii unapata draw.Its not ready but we see the light. Spurs walikuja wana uhakika kwamba hii game wanashinda.
They outplayed us yes but tumepata point moja
Ni kweli Shaka angekuwepo angesaidia sana,unamuuza Shaka unamnunua Kai na Joghno!Arteta mpumbavu sijui kwa nini alimuuza Xhaka.