Pengo la Partey limeonekana kabisa leo.... Jorginho sijui huwa anawaza nn yule jamaa....ametuchomesha goli la kipumbavu kabisa....point 4 ni nyng sana kumfukuza City....na naona watu wanatoka wanachechemea kabisa....tuombe wiki mbili hzi tuwe na kikosi kamili vngnevyo tukikutana na wale mabraza....tutawaeleza vzuri ile siku ya community shield kile kimbelembele tulikitoa wapi