Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rice kaumia calf
Pengo la Partey limeonekana kabisa leo.... Jorginho sijui huwa anawaza nn yule jamaa....ametuchomesha goli la kipumbavu kabisa....point 4 ni nyng sana kumfukuza City....na naona watu wanatoka wanachechemea kabisa....tuombe wiki mbili hzi tuwe na kikosi kamili vngnevyo tukikutana na wale mabraza....tutawaeleza vzuri ile siku ya community shield kile kimbelembele tulikitoa wapi
 
Haya maneno umesema baada ya Spurs kuwanga'ang'ania
 
Joginho,nketiah hawa ni squad player tu.
Zin mech kama hizi hasa kama hakuna mido kama partey,hauna winger anayeshuka kama martinell na hauna a very compct midifield duo ambayo inaweza dictate mchezo,ni bora kumuacha nje.

Vinginevyo unawapa kazi ya ziada sana centre backs
 
Yaani anakuwa mzururaji tu maamaaeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…