Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapo kati kuna bissouma na sar kuna kitu cha hatar kitaenda kutokea leo

Kuna jamboa la supersub lipo leo either kwa yeyote
Arsenal kai
Spurs Richardson
 
Nakumbuka uliwai kusema, tuwe na chambuzi before game halijaanza

Safi Sana mkuu
 
Hapo kati kuna bissouma na sar kuna kitu cha hatar kitaenda kutokea leo

Kuna jamboa la supersub lipo leo either kwa yeyote
Arsenal kai
Spurs Richardson
Richarlson ana mechi ngapi za Spurs ana magoli mangapi?

Kacheza derby ngapi kafunga magoli mangapi?

Huyo simhofii
 
Mkorea aliwahi kuleta quote ya Henry akisema Raya hajaja kubadilishana game time na Ramsdale.

Naona ndo yanayoendelea hapa
 
Naona game ya Leo asilimia kubwa ni pale mido

Kwa upande wa arsenal Rice ndio kiungo mkabaji, ubora wa rice ubora wa arsenal

Jesus na Nketiah ni wazuri Sana kwenye pressing, na uzuri Wana pressing with high pressure

Chemistry ya timu ipo vizuri ila Spurs wao ligi wameanza vizuri huo ndio utofauti

#COYG
 
Mna weak starting lineup leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…