Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chido Obi mwenye umri wa miaka 15 alifunga hat-trick katika ushindi wa 4-0 wa Arsenal dhidi ya vijana wa chini ya miaka 18 dhidi Southampton jana.

Bila shaka Ni mojawapo ya vipaji eneo la ushambuliaji.

Chido Obi anatajwa kuwa mshambuliaji mwenye kipaji Cha juu kutoka Hale-End, akifuata nyayo za kina Bukayo Saka, Emile Smith Rowe, Ethan Nwaneri na Myles Lewis-Skelly.

Ikizingatiwa urefu wake na nguvu kwa umri wake haitakuwa jambo la kushangaza ikiwa Chido Obi atarushwa madarasa kutoka U16s kwenda U21s msimu huu.
 
Vijana wanapikwa
 
Hadi Sasa tuna defense Bora Sana

Kwasasa nikuongeza magoli tu ,

Kuanza kudaka kwa Raya tutakuwa imara zaidi
 
If tetes za Trossard kuumia zitakuwa kweli ,my prediction lineup

XI Raya

White - Saliba - Gabriel - Zinny

Rice

Ødegaard F. Vieira

Saka Jesus
Havertz
 
Vijana wanapikwa
Per Mertesacker na Jack Wilshere wanafanya Kaz nzuri

Wameshawapika Charlie Patino, Ethan Nanweri na Myle skyles , Dubery


Patino kaenda mkopo Jana kapiga goli ,dogo ameiva Sana ,Mike alimwambia asitake kuondoka mazima,aende mkopo mmoja arudi kucheza senior team.

Ni LCM mzuri Sana

Nanweri tunaweza kumuona Jumatano Carabao Cup,Leo nasikia anaweza kuwepo bench
 
Nna imani watatuongezea kitu hapo baadae wakipanda senior team
 
Hiki kitu nimekiona pia, ulitaka ufe mapepa ni kutaka kupishana

Kama Burnley vule uchezaji wake alivyocheza na nyumbu.
Akija kwetu had dakika ya 60 ameshakula 5

Mambo ya kupishana bado mpo nayo, last season mlisema hivyo hivyo oooh liverpool, man city, Brighton wakileta mambo ya kupishana wanakufa si chini ya 3 lakini mwisho wa siku tukaona wote yaliyotokea
 
"Fair doesn't exist."

Mikel Arteta says he's 'ruthless' every single day with the team choices he makes and that no manager can possibly be fair to every player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…