Arteta asijichanganye akampanga Kai mechi na Spurs.
Atakuja kutukanwa matusi ya nguoni.
Nipo paleee!
Mbona Kai iyo game anapiga bao tena kali sana aisee.Arteta asijichanganye akampanga Kai mechi na Spurs.
Atakuja kutukanwa matusi ya nguoni.
Nipo paleee!
Labda apige bao ndotoni.Mbona Kai iyo game anapiga bao tena kali sana aisee.
Yuko sahihi. Yaani tucheze tu na City best of 3, mshindi apewe kombe, loser apewe 2nd place. Ligi iendelee kwa timu zingine kutafuta mshindi wa tatu hadi wa mwisho. FA Cup na Carabao ziendelee ila Arsenal na Mancity waende final moja kwa moja. Wengine wote waendelee kupambana kufika semi final ili tujue tu nani alifika fika japo hapo.Aiseeeee ndugu zetu mmefikia kutamani kwenye ligi zichezwe mechi 2 tu halafu mshindi akabidhiwe kombe!!!!
Yuko sahihi. Yaani tucheze tu na City best of 3, mshindi apewe kombe, loser apewe 2nd place. Ligi iendelee kwa timu zingine kutafuta mshindi wa tatu hadi wa mwisho. FA Cup na Carabao ziendelee ila Arsenal na Mancity waende final moja kwa moja. Wengine wote waendelee kupambana kufika semi final ili tujue tu nani alifika fika japo hapo.
Ww endelea kupiga ramli🤠🤠🤠....kipindi unapambanapambana kubaki nafasi ya saba Man U asiichukieHizi tunazihifadhi for further use. Siku si nyingi tutaanza kuzirudisha pale ambapo wengine wanashikana mashati na wengine mmekimbilia mafichoni.
Tuongee yote ila kuna huyu Gabriel Jesus, juzi kapiga mpira mwingi sana.
Ukiacha lile goli kali, kuna nafasi moja alichekecha kwenye tight space ndani ya 18 akapiga curled shot kipa akacheza..
Hayo mambo tulizoea kuyaona kwa kina De Lima.
View attachment 2758070
Wala sio usnitch mkuu, upo sahihi Ramsdale anaenda kucheza Carabao na FA , Arsenal inajengwa kwenye swala la standard Kila eneoBinafsi kwenye uefa na epl namkataa ramsdale
Ata mkiniona snitch, poa tu
Media za UK zimecharuka Sana hili swala la Ramsdale kupigwa benchVyombo vya habari vya UK vinazidi kupambisha suala la Ramsdale kukaa benchi kisa ni muingereza mwenzao.
Sisi fans tunasema: "Anaestahili kucheza akae golini, kwa faida ya timu"
Timu ishaanza kujijenga vizuri halafu kuna kundi la wahuni linataka kutuharibia.
Waingereza watulieMedia za UK zimecharuka Sana hili swala la Ramsdale kupigwa bench
Mbona tumepiga kelele sana wampe nafasi national team walikuwa kimya ,
Ramsdale kashapoteza nafasi , Arsenal inaenda kubadilika kabisa uchezaji Kuna points watu wa analysis wanajua kabisa kipa alizipoteza , wenzetu wanazingatia Sana details ndogo ndogo
Ramsdale asuburi Carabao na FA
Nimeona Leno Kama anafurahia Ramsdale kuwa dropped
Bernd Leno:
"It (changing goalkeepers) has happened (again) after the international break. I was thinking: ‘That’s more or less the same as with me!’
I was thinking about Aaron (Ramsdale), he’s a very good guy. I know how he feels, there are some similarities." [Times]
Sababu pekee ya Toney kwenda ukengeni ni kumuoffer hela nyingi ambayo Arsenal haiwezi kuifikia. Na sidhani kama arsenal tutashindwaKenge washatuvamia kwenye dili la Toney
Uache kwnda kucheza na Odegaard na fundi Rice na mzee wa busara Partey....ukacheze na Madueke na Mudiriki kwli????....utakuwa Huna akili timamuKenge washatuvamia kwenye dili la Toney
Wameanza kumfatilia aisee ,ngoja tuone JanuaryUache kwnda kucheza na Odegaard na fundi Rice na mzee wa busara Partey....ukacheze na Madueke na Mudiriki kwli????....utakuwa Huna akili timamu