Supercomputer na makampuni mengine yalikuja kuthibitisha kile nilichosemasasa hapo mkuu Masingeli mimi nimekulisha maneno gani?
Wewe si ndio ulikuja hapa na utabiri wako wa SuperComputer imewatangaza Arsenyau kua ndio mabingwa wa Ucl 2023/2024?
Hivi ukimpiga sub nyanda halafu akaumia aliyeingia yule aliyetoka aweza kurudi? Hahahaha 🤣🤣.Naisikiliza hapa. Inanifikirisha sana. So tuanze kujiandaa kuona substitution za goalkeeper from now.
Huwezi kuwa kocha wa mchongo, ukawaza haya mambo.
In Arteta we trust.
Kabla ya Nletiah. Gabriel Magalhaes alipoteza mpira, ukambabatiza BETO. Then ndo ukaja kwa Nketiah, move ya goli ikaemdelea.Ulimgusa Nketiah akiwa bado kwenye offside position, a line was drawn to prove that
Nasubili jibu hapa na mimiKabla ya Nletiah. Gabriel Magalhaes alipoteza mpira, ukambabatiza BETO. Then ndo ukaja kwa Nketiah, move ya goli ikaemdelea.
Concern ya mdau hapo na mimi pia, ni kuwa inafahamika mali ikimgusa opponent, basi offside inakufa. Ikawaje pale iwe offside, wakati mali ilitoka kwa Everton player before haijafika kwa Nketiah?
T
Nasubili jibu hapa na mimi
Kabla ya Nletiah. Gabriel Magalhaes alipoteza mpira, ukambabatiza BETO. Then ndo ukaja kwa Nketiah, move ya goli ikaemdelea.
Concern ya mdau hapo na mimi pia, ni kuwa inafahamika mali ikimgusa opponent, basi offside inakufa. Ikawaje pale iwe offside, wakati mali ilitoka kwa Everton player before haijafika kwa Nketiah?
T
Za harakaharaka inaonesha Ni Grade 1 hamstring ,anaweza kukosa Hadi wiki 3hamis77 any updates from Martinelli injury so far?
🔥Ukitaka kuona finish ya Trossard haikua ya kawaida angalia kwa angle hii
View: https://twitter.com/mariEscobarPAWG/status/1703467526468853894?t=Q8UN6svcWg1c6XgnhYXBNg&s=19
😆😆😆😆😆