Watagawana michuano ila naanza kuhisi yy atadaka mechi za vikombe...hii ligi kuu inachukuliwa na Raya...dalili zinaonekana kbsaIt's like Ramsdale anaenda kupoteza namba kwa Raya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiihii Arsenyo inayobakiza mechi 8 kumaliza ligi ikiwa inaongoza kwa points 8, halafu inabaki mechi 1 ligi kuisha inakua ipo nyuma kwa points 8?Flano na Allypipi...kadi za uanachama bdo zipo nyingi sana tunagawa bure....karibuni ndugu zetu tuje tuburudike na bolu la kisasa....tikitaka flani...yaani unacheki unaona kabisa mpira unapelekwa wapi....siyo Yale mambo ya Bruno akiupata anamcheki Rashidi Makame ypo wapi anabutua huko mbele kwa mbele[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Nketiah alikua involved na game mwanzoni baadaye akapotea. Amekosa nafasi kwa kutokua mtulivu.Sijacheki game mniambie nketiah alifanya kipi cha maana, maana sikupenda ye kuanza na je alivyoingia jesus alifanya bora zaidi ya nketiah? Nimeona kai ana rate ya 4.0 leo kacheza vizuri? Fabio huyu mara nyingi akianza hawi poa kama akiingia,je ilikuwa hivyo? Wengine sina mashaka nao.
Hhaha mim pia nmetumia muda kumuangalia,first tch yake tu ni ile ile kila akipata mpira na mabeki washamjua saivi.Chini ya hii niliandika Arsenal ingepata tabu kumuacha Martinelli kwa ajili ya Mudryk.
Kuna member akasema Mudryk kawekewa kipengele akipata Ballon D'Or kuna add ons na roho inamuuma hajaja Arsenal nikamjibu hata Martial ana kipengele hicho hicho.
Leo namuangalia Mudryk hadi muda anatoka naona ni kweli Arsenal tusingepata shida kujua tumuweke benchi our best shooter ama la. Beki akimfanyia take on Martinelli utamuona kijana yupo nyuma anakimbiza mpira, ila Mudryk pace yake haitumii kumsaidia kulinda
Bado nketiah Hana level za Jesus , Ni rotation tu iliamua aanze ,Sijacheki game mniambie nketiah alifanya kipi cha maana, maana sikupenda ye kuanza na je alivyoingia jesus alifanya bora zaidi ya nketiah? Nimeona kai ana rate ya 4.0 leo kacheza vizuri? Fabio huyu mara nyingi akianza hawi poa kama akiingia,je ilikuwa hivyo? Wengine sina mashaka nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiihii Arsenyo inayobakiza mechi 8 kumaliza ligi ikiwa inaongoza kwa points 8, halafu inabaki mechi 1 ligi kuisha inakua ipo nyuma kwa points 8?
Hapana aiseeee mara 100 nishangilie Fulham walau yenyewe inamiliki kombe la Ulaya.
Arsenyau mkinionesha kombe lenu linalofanana walau na hili [emoji116][emoji116][emoji116] mimi nitawaonesha Maguire anavyokabidhiwa tuzo ya Ballon d'Or. View attachment 2752750