Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Clean sheet

1 nil kwa timu iliyoamua kuja kupaki basi sioni kama matokeo mabaya.
Hvi yule Rice si tungewaongezea West Ham hata £20million nyingine aisee....sijamuona leo Onana akikukuruka kabisa....au hajacheza msela 🤠🤠🤠🤠....Ramsdale ajiandae kisaikolojia...hyu Raya yaani hafanyi mistake kabisa....ypo Calm kwlikwli....hyo Beto wa Everton alokuwa anasifiwa sijaiona chchte alichofanya...uzuri siku hzi Arsenal tunakufunga hlafu tunakufundisha na namna ya kucheza bolu🤠🤠🤠.....waleteni wengine tucheze nao🤠🤠🤠
 
Flano na Allypipi...kadi za uanachama bdo zipo nyingi sana tunagawa bure....karibuni ndugu zetu tuje tuburudike na bolu la kisasa....tikitaka flani...yaani unacheki unaona kabisa mpira unapelekwa wapi....siyo Yale mambo ya Bruno akiupata anamcheki Rashidi Makame ypo wapi anabutua huko mbele kwa mbele🤠🤠🤠
 
Hvi yule Rice si tungewaongezea West Ham hata £20million nyingine aisee....sijamuona leo Onana akikukuruka kabisa....au hajacheza msela ....Ramsdale ajiandae kisaikolojia...hyu Raya yaani hafanyi mistake kabisa....ypo Calm kwlikwli....hyo Beto wa Everton alokuwa anasifiwa sijaiona chchte alichofanya...uzuri siku hzi Arsenal tunakufunga hlafu tunakufundisha na namna ya kucheza bolu.....waleteni wengine tucheze nao
Declan Rice vs. Everton:

90 minutes played
98 touches
89 passes (93% accuracy)
1 key pass
5 long balls (100% success)
1 shot blocked
3 dribbles (100% success)
6 ground duels (4 won)
1 clearance
2 interceptions

Sublime again. His level doesn’t drop. What a player.
 
Rice anastahili pongezi 👏👏
 
Yule ana akili kwlikwli....sasahv unacheki gemu yaani hata mkikosa nafasi mbili....unajua tu lazima tutafunga....maana mda wte tupo golini kwao🤠🤠🤠....nawataka Spurs....maana wanasifiwa sana kwmba wanaupiga mwingi...tucheze nao tuone🤠🤠🤠
Ila zinny kwenye kuchezesha team yupo njema anapiga pass balaaa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huu ushindi wa leo umewapa wadau ganzi!? Naona hata Kai hashambuliwi.
Kwakua kaingia dk za lala salama na zaidi ya kukwepa pasi hajafanya blunder nyingine.

Isipokua anaonekana yupo off position mara nyingi.

Angeanza na makosa yangekua mengi.

Last game tumeshinda kwa United lakini wote tuliona shida zake kwakua alianza na alikaa muda mkubwa
 
Atokee bench hadi akili ikae sawa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
0-1 vs. Everton
3-1 vs. Manchester United
2-2 vs. Fulham
0-1 vs. Crystal Palace
2-1 vs. Nottingham Forest

4 wins out of 5 in the Premier League for Arsenal.
 
Back
Top Bottom