Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Linki ya kutizama game wadau, niko porini huku, mpaka nikautizame mpira bora hiyo hela niweke bando.
 
FULL XI

David Raya (GK), William Saliba, Ben White, Gabriel Magalhães, Oleksandr Zinchenko, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Fábio Vieira, Declan Rice, Gabriel Martinelli, Eddie Nketiah.
 
Chini ya hii niliandika Arsenal ingepata tabu kumuacha Martinelli kwa ajili ya Mudryk.

Kuna member akasema Mudryk kawekewa kipengele akipata Ballon D'Or kuna add ons na roho inamuuma hajaja Arsenal nikamjibu hata Martial ana kipengele hicho hicho.

Leo namuangalia Mudryk hadi muda anatoka naona ni kweli Arsenal tusingepata shida kujua tumuweke benchi our best shooter ama la. Beki akimfanyia take on Martinelli utamuona kijana yupo nyuma anakimbiza mpira, ila Mudryk pace yake haitumii kumsaidia kulinda
 
𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎


Gabi at the back
🪄 Vieira in midfield
Eddie leads the line

COME ON YOU GUNNERS!
 
Our bench is absolutely crazy.

Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Jorginho, Havertz, Trossard, Smith Rowe, Nelson, Jesus.

Depth.
 
Aaron Ramsdale being rested for the Champions League on Wednesday which is exactly why Mikel Arteta wanted two top quality keepers he could rely on.
 
Havertz benchi.

Arteta nahisi alidhani washkaji watakuja na 5 4 1 amewajia na 4 2 3 1 Vieira kaanza.

Na Raya ameanza
 
Havertz benchi.

Arteta nahisi alidhani washkaji watakuja na 5 4 1 amewajia na 4 2 3 1 Vieira kaanza.

Na Raya ameanza
Sidhani Kama kabadili formation Ni ile ile 4-3-3

Tutakuwa na viungo wenye kutunza mpira na wabunifu

Zinny Rice Ødegaard Vieira
 
Nelli anatakiwa amkimbize Babu Ashley young Hadi ateme damu
 
Kwanin Gabriel jesus yuko bench, je ni kwa ajili ya game ya uefa au ndio nketiah kawa first choice wa arteta!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…