Kitu kikishapita muda wa 2 decades hakina maana tena mzee ndo maana unaona Nottingham forest wakija kujitamba wana uefa unawapuuza , miongo 2 ( miaka 20) without epl & uefa huna kombe lolote la maana.
Atleast ukae muda mrefu then uchukue kombe ndo tuhesabu makombe ya zamani kama liverpool alivyofanya, sasa wewe unataka kuhesabu makombe wakati last seen 2004