Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xavi yupo but Arteta hayupo?Ange yupo wa spurs pia ?Saka hayupo kwenye best FIFA ?hizi ni tuzo au tuzo za Makalio(sorry to say this)it is unacceptable
Cha-goat.
Naona unachambua mchele.
Nataka nifungue kijiwe humu cha kahawa HQ itakuwa jukwaa la Chelsea, nyinyi mpira hauwapendi tena😅😅😅
 
ndugu yangu Labyrinth 84 hua unanifurahisha sana, yaani kima za humu zikijifanya kukuletea ujuaji wewe unachukua msumari na kuanza kuzichokonoa palepale kwenye kidonda.
Kwa mifano hio uliyompa naona mpaka swahiba wangu computerarsenal anajicheka kimoyomoyo
 
Na supercomputer msimu huu imetabiri Manyumbu mnamaliza nafasi ya 15...kama kuna kaukweli flani hivi
nilijua tu wewe tena chawa promax wa Mc Masingeli lazima uje ushadidie humu habari za Supakompyura.
Hio Supakompyura msimu ulioisha si iliwatabiria mtachukua Epl?
Tuonesheni basi kombe lenu mlilopewa na Supakompyura tuwasaidie kushangilia.
 
Msiba wa kesho wafiwa mmeshaanda mazingira
 
Imebidi nimkumbushe tu computer arsenal maana nilijua ni yule kijana wa sifa na kuabudu aliyenipiga marufuku nisiquote maneno yake , kuangalia vizuriii nakuta ni computerarsenal nikasema amekutwa na nini au tayari kashajiunga kwenye sifa na kuabudu😆
 
ila mwanangu Labyrinth 84 usiwe unapotea sana humu, maana kuna wahuni humu ukiadimika kidogo tu wanakuja na uongo za hatari, lakini wakiwa wanakuonaona hua wanajishtukia maana wanajua watashushiwa evidence za kushiba zinazoambatana na vivid examples.
Ila wewe jamaa hata kama mimi ningekua ni shabiki wa Arsenyau lazima ningekuchukia maana sio kwa shahidi za naked truth unazowekaga humu aiseeee.
 
😂😂😂😂 nilipotea kidogo ila nimerudi rasmi naona walinenepa sana baada ya kukupiga chuma 3 zile yaani sijui kwanini wakishinda kwako wanaona kama wameshachukua ubingwa hii gemu ingekuwa katikati ya msimu wangejitangazia ubingwa.

Naona uefa wanatangaza wanamuogopa city tu 😂😂 hizi timu nyingine wanaziona kama level zao tu kisa city alishinda kwa madrid , bayern, inter baasi wanaona madrid mbovu na bayern mbovu ila hawa false hopers wanafurahisha sana.
 
ukiwasikia humu ndani jinsi wanavyojazana ujinga kuhusu kuchukua Uefa msimu huu unabaki unacheka tu.
Hizi kima ubingwa wao msimu huu ni kumfunga United tu wasitegemee msimu huu watabeba kombe lolote hawa wazee false hopes.
 
Ww na kile kikundi chako utakuja kuongea nn Sasa hmu mkuu🤠🤠🤠...mechi 4 points 3 halafu unakuja kuzurura hmu na kuvimba🤠🤠🤠...kesho mnaocheza tena na WA level zenu ila kuna kitu kitawakuta tena🤠🤠🤠
 
Wiki hii mm ni Brighton damudamu🤠🤠🤠....tusiposhinda hii mechi tutakuwa tumejiabisha sana🤠🤠🤠...tena inatakiwa tupate goli 3 kwnda juu
 
Itapendeza kumuona David Raya golini jumapili.

Jorginho akianza pia itakua vizuri.

Vile vile itapendeza tukiwaona Trossard, Fabio, ESR, Kiwior na Nelson wakipata muda wa kucheza.
 

Points 3 hizo hizo team yangu haina false hope kuliko wewe ambaye unalisha matumaini bandia halafu at the end of the season unatoka with zero trophies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…