Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaka kwa kwema huko ulipo?

Huwa nafanya tactical analysis katika different angles
Nikikuambia kitu ujue 95% ni perfect

hamis77 mchambuzi nguli yeye alimuepezea Kai vizuri Sana lakini tukashindwa kumuelewa
Inawwzekana uwezo wake wa kuona Jambo ni mkubwa Sana au humu wengi ni mashabiki sio watu wa soka

Nimekuja kugundua njia anazopita Kai na majukumu ambayo atayafanya ni updated version ya Ozil
Coz Kai ni mzuri Sana akicheza as attacking Midfielder
 
Trossard in LCM (Left 8 position) kaweka kamba kali.

He also asked Arteta on his game time last week..

View attachment 2747685
Forgotten hero

I just wish game zingine tuingie hivi

....................................jesus

Rowe.....,.................................................. Nelson
.....................Trossad............Fabio.........

..................................partey.................
.
Ziny..............Kiwior.............saliba............ tomiyasu
...
....................................Raya


 
Kai ni new Ozil

Itunze hii mkuu
Hawa jamaa wanadhan unasema tu ,Kai kaanza kufananishwa na Ozil akiwa na miaka 18 pale Leverkusen , wajeruman na ulimwengu wa Soka ndio walikuwa wanasema mrith wa Ozil kapatikana

Ndio Maana akauzwa €100m akiwa na miaka 20 tu ,

Chelsea kubadili makocha ndio kumeyumbisha kipaji chake

Wakati Arteta anamnunua alisema yeye amenunua Talent hajanunua complete player
 
Kai angekuwa ovyo Kama unavyohubiri ,Basi manjesta wasingepiga pass 200 Kati ya 214 kwenye backline Yao na kushindwa kuvuka midfield ya Kai ambaye wewe unasema Ni mbovu Sana

Casemiro ambaye mnaamini Ni muhimili wenu asingepoteana kiasi kile
 
During the international break, we learnt that;
Tomiyasu is a proper center back
Ødegaard has traded his assists for goals so let’s be worried

Havertz is a RCM so Ødegaard should shift to LCM for him

Gabriel is Brazil’s best CB
Trossard has the best finishing across our frontline

Add yours
 
Watu tunao

Maji wataita mma
 
We Flano konyo sana wewe... hahahaha 🤣🤣🤣.
 
Arsenal imetuma majina 25 ya wachezaji waliosajiliwa kwa ajili ya EPL

wachezaji wenye alama ya * Ni wazawa au waliosajiliwa kabla ya miaka 18

Jurrien Timber amejumuishwa pia
 
Players born on or after 1 January 2002 don't need to be registered.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…