Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu wanaomponda Sana Kai sio pundit Ni fans tu ,pundit wengi nawasikiliza sky sport ,n.k wanasema huwez kumuhukumu mchezaji kwa mechi 3-4


Lejend wa Arsenal Alan Smith Leo kaongea hivi kuhusu Kai ,


Mchezaji wa zamani wa Arsenal Alan Smith anaamini Kai Havertz anaweza kuwa bora zaidi kwa Arsenal kuliko Granit Xhaka:


โ€œInaniudhi jinsi watu wako tayari kumkosoa haraka sana.

"Hawa ni wafuasi wa Arsenal na unatarajia kwamba watamuunga mkono katika siku za mwanzo wakati mchezaji mpya anapoingia na anajaribu kutafuta uchezaji wake ".

"Nadhani ni mchezaji mzuri sana kiufundi, nadhani anaweza kuwa mchezaji mzuri kwetu na nilimsikia Arteta akisema Kai anahitaji kujiweka(kushambulia) kwenye box la mwisho , kama Xhaka alivyofanya msimu uliopita. "

"Nadhani Havertz anaweza kuwa bora zaidi ya hapo kwani ana silika ya kushambulia na atakuwa na umaliziaji mzuri anapoingia kwenye nafasi hizo."


KWAHIYO MKUU SIO WOTE WANAOMPONDA KAI
 
Arsenal wachezaji wengi walianza kwa shida Sana ,huyu Kai mbona anajitahidi sana
 
Kai apewe muda kidogo, anaenda kuwa shida nyingine pale epl

Narudia tena, namuona Ozil kwenye miguu ya kai
Ukikuta anavyosemwa kana kwamba Ni anacheza ovyo Sana kitu ambacho sio kweli

Hizi Ni mechi zake 4 had Sasa hizi hapa rating zake
 
Kenge wanalazimisha Kai aonekane mbaya
Nyumbu wameona sehemu ya kutupigia spana ni Kai


Moja Kati ya wachezaji ambao Wana movements za akili sana, Kai yupo
Kai anahitaji kuzoeana katika mikimbio hasa hasa na odegard, martinel, saka, Jesus na Nketiah
Hapo kazi inakua imeisha

Kai ni shida mpya ndani ya jiji
 
Mm nawauliza nyumbu, Kama Kai Ni mbovu wanavyodai ,basi Casemiro angetaka asingetoka na rating ndogo hivi
 
Arsenal have announced their Champions League squad.

Plenty of players youโ€™d expect to see. Some perhaps interesting inclusions though are:

James Hillson GK
Lino Sousa LB
Cedric Soares RB
Elneny CM

Good to see the Egyptianโ€™s return nearing. Seeming confirmation Cedric stays.
 
LIST A

[emoji599] @Arsenalโ€™s UCL squad:

๐—š๐—ž: Ramsdale, Raya, Hillson.

๐——๐—™๐——: Cedric, Sousa, Tomiyasu, Zinchenko, White, Gabriel, Kiwior, Saliba.

๐— ๐—œ๐——: Elneny, Jorginho, Partey, Rice, ร˜degaard, Havertz, Vieira, Smith-Rowe.

๐—”๐—ง๐—ง: Trossard, Saka, Martinelli, Nelson, Nketiah, Jesus.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu Cedric inabidi January tumpeleke manyua ,ndio Wana mpira Kama wake

[emoji38][emoji38][emoji38] back four ya malacia john Evans magwaya na Cedric. I will be there
 
Declan Rice on the best players in his position:


โ€œThe main one in the Premier League is Rodri, heโ€™s incredible. The way he works, the way he keeps that Man City team ticking, heโ€™s a top player. Partey, when I come to Arsenal, he was incredible & has been until his injury. Tchouameni at Real Madrid, heโ€™s aggressive, gets on the ball, goes forward.โ€


[@Channel4]
 
Niliwai kusema mbadala wa partey tukambebe huyu Tchoumeni pale bernabeu
 
๐“๐ก๐ž ๐€๐ซ๐ฌ๐ž๐ง๐š๐ฅ ๐ก๐š๐ฏ๐ž ๐ฌ๐ฎ๐›๐ฆ๐ข๐ญ๐ญ๐ž๐ ๐จ๐ฎ๐ซ ๐Ÿ๐Ÿ“-๐ฆ๐š๐ง ๐‹๐ข๐ฌ๐ญ ๐€ ๐ฌ๐ช๐ฎ๐š๐ ๐Ÿ๐จ๐ซ ๐จ๐ฎ๐ซ ๐ฎ๐ฉ๐œ๐จ๐ฆ๐ข๐ง๐  ๐”๐„๐…๐€ ๐‚๐ก๐š๐ฆ๐ฉ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐‹๐ž๐š๐ ๐ฎ๐ž ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฌ๐ญ๐š๐ ๐ž ๐ฆ๐š๐ญ๐œ๐ก๐ž๐ฌ.

๐‹๐ข๐ฌ๐ญ ๐€

๐†๐จ๐š๐ฅ๐ค๐ž๐ž๐ฉ๐ž๐ซ๐ฌ:

Aaron Ramsdale, David Raya, James Hillson

๐ƒ๐ž๐Ÿ๐ž๐ง๐๐ž๐ซ๐ฌ:

Cedric, Lino Sousa, Takehiro Tomiyasu, Oleksandr Zinchenko, Ben White, Gabriel, Jakub Kiwior, William Saliba

๐Œ๐ข๐๐Ÿ๐ข๐ž๐ฅ๐๐ž๐ซ๐ฌ:

Mohamed Elneny, Jorginho, Thomas Partey, Declan Rice, Martin Odegaard, Kai Havertz, Fabio Vieira, Emile Smith Rowe

๐…๐จ๐ซ๐ฐ๐š๐ซ๐๐ฌ:

Leandro Trossard, Bukayo Saka, Gabriel Martinelli, Reiss Nelson, Eddie Nketiah, Gabriel Jesus

๐‹๐ข๐ฌ๐ญ ๐

In addition to this, we will also submit our List B submissions by 00:00 CET on the night preceding each match throughout the competition, which will see our squad boosted with under-21 players.

A player may be registered on List B if he is born on, or after, January 1 2002 and has been eligible to play for the club concerned for any uninterrupted period of two years since his 15th birthday (players aged 16 may be submitted if they have been registered with the club for the previous two years).

Clubs are entitled to register an unlimited number of players on List B during the season, but the list needs to be submitted no later than 00:00 CET the day before a match.

Each club must include at least two goalkeepers on List A and at least three in total (List A and List B combined).

**
Changes to List A can only be made before the round of 16 in February 2024, when clubs can register a maximum of three new players, such as new signings or previously injured players, but the overall limit of 25 players remains.
 
No, i disagree, Alonso alikuwa fundi, moja ya long range passers wazuri kuwahi kutokea pamoja na steve G, Guardiola shida yake kubwa ilikuwa physique lakini technically alifanya poa kwenye vitu kama ball circulation & anticipatipn of the next pass kitu ambacho ni muhimu sana kwa #6 yoyote, Guardiola anajinadi kwamba uwezo wake wa kuanticipate the next move hakuna mchezaji wa kileo anaweza fikia, he was the best. Arteta pia alifanya poa, tatizo alifundishwa na mediocre coaches like Moyes, viungo wanafanya vizuri kwenye mpira sababu wanapewa infos nyingi kimbinu lakini pia wanauona uwanja mzima wakiwa kwenye maeneo yao katikati hasa namba 6, mfano tu sergio busquets akiwa coach ni lazima atakuwa best tactician km alivyokuwa Pep Guardiola.
 
January tunaongeza wawili wapya na Timber ,Huyu Cedric atasepa
 
Kai ni mzigo kama furushi la maparachichi, anabebwa na ARTETA tu
 
Kai hawezi na hataweza kuja kuwa Bora pale Arsenal kumzidi Xhaka, hatafikisha hata robo ya mchango wa Xhaka pale Arsenal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ