Where is 7hag with £400m spentWenger orphans mnapiga kelele hapa lakini hii ndo chance yenu ya kubeba ubingwa mwaka huu.
Usiulize Manchester ipo ngapi.View attachment 2743161
Hii timu haipo serious bado Havertz kuondoka bure kama Pepe Kale
2023: Havertz joins Arsenal for $85.4 m
2027: Arsenal sell Havertz for £3m
Nketia na Cebalos walizinguana nini?Hofu yangu ni ule mshahara anaokunja Kai
At the moment yeye ndio most paid player pale arsenal
Je Hii haitaleta shida katika dressing room?
Unakumbuka Nketiah alivyozinguana na Cebalos kipindi yupo kwetu kwa mkopo?
I got uSidhan kama ni kweli Kai anapoteza Sana mipira , accuracy yake ya pass sio mbaya Sana ,pia ndiye mchezaji anaye cover au aliyekimbia Sana kwa Arsenal takwimu zinasema hivo ,
Kai alifanikiwa UCL hasa EPL kipind Cha Tuchel bado hakufanya vzr Sana, pale chelsea wamebadilishwa makocha wengi kwa kipind kifupi , sidhan Kama Kuna mchezaji katoka Chelsea hii iliyovurugika ame settle , Tena Kama ukienda timu isiyo na mfumo rasmi ndio unapotea mazima,
Ila unakumbuka Øde alikuja kwa mkopo miezi 6 Arsenal ,hakufanya chochote , Partey pia alikaa karibu miezi 6 ndio akaanza kucheza vzr ,zipo interview Partey anasema kabisa amekuwa akivurunda, had January 2020/21 Kama sikosei ndio Partey alianza kucheza vzr
Kai mechi 4 tunataka kumkatia tamaa ?
Nilifatilia kwanini Arteta alimsajili Kai ,nikagundua sababu anaamini atamsaidia kwenye False 9 akihitaji kumtumia hapo like vs Mancity , sababu tukiweka ushabiki na chuki ,unapotaja false 9 wanaojua kupress Kuna Jesus ,Kai hawachoki na Wana press kwa Akili , lakin tulikuwa hatuna CF wa kucheza mipira ya juu tukihitaji hivo, ndio sababu ya kumnunua Kai ,
Lakin kumtumia Kama LCM, hapa ndio anahitaji muda hata mechi 20 ndio ataanza kucheza vzr ,uzuri Kuna maeneo hayamsumbui Kama movement anapotakiwa kurudi chini ,kwenda kushambulia ndio maana unamuona anakosa hata magoli ,anaongeza namba ya viungo ,
Tatizo lake anacheza kwa pressure,
Nketiah alikua amtuhumu Cebalos hajitumi, kwaio yupo kwa maslai zaidNketia na Cebalos walizinguana nini?
Unakumbuka mech na Everton mwaka Jana walitunyanyasa sababu ya mipira ya juuI got u
Binafsi namuona Kai kwenye vivuri vya ozilUnakumbuka mech na Everton mwaka Jana walitunyanyasa sababu ya mipira ya juu
After international break tunaenda kwao ,Sean Dyche Kama kawaida atatumia mipira ya juu
Sitashangaa hiyo mechi Kai akaanza Tena Kama LCM kivuli kusaidia false 9,
Ulivyoelezea ndio Arteta anataka timu icheze hivo, nasubiri kuona pale mbele Jesus badala ya NketiahBinafsi namuona Kai kwenye vivuri vya ozil
Tutumie double 8 (ode na Kai)
Single pivot (Rice)
Tisa asimame Jesus or nketiah, so far wote wapo vizuri
Positional player Kai na Jesus/nketiah watakua Wana press
Kwenye kushambulia Kai na ode as advanced Midfielders
Huku zinny akija ku-overload kwenye dimba akiungana na rice
Kai na odegard kaziyao ni kutafuta vyumba
Shoots outside the bx, Kama goal alilopigwa nyumbu juz
Assists
From my perspective
That's modern footballUlivyoelezea ndio Arteta anataka timu icheze hivo, nasubiri kuona pale mbele Jesus badala ya Nketiah
Double 8 ya Øde na Kai/Vieira/Trossard/Smith Rowe
Pivotal ya Zinny na Rice
Kuna kitu nataka nione tu ,