Arsenal (The Gunners) | Special Thread

David Raya has impressed in training, particularly with his ability to play out with the ball.

Mikel Arteta is giving serious consideration to giving Raya a prolonged first-team opportunity in the coming weeks.

[Mail]
 
Ni hatua nzuri kwa Aaron Rams kuwa nominated kwenye Yachine Trophy

He’s 25. The youngest GK in the list. I can’t imagine how good he will be when he gets matured
 
Eddie Nketiah:

"Thiery Henry amekuwa msaada kwangu, niliweza kufundishwa naye kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nikiwa na miaka 16, moja ya misimu yangu bora na ya kufurahisha zaidi.

"Alikuja na kuona ubora niliokuwa nao nilipokuwa na umri wa miaka 16 au 17 na akasema kwamba nilihitaji tu kujiamini chochote ambacho mtu mwingine yeyote angesema.

Hilo ndilo litakalokusaidia, kukutia moyo.

Huenda hiyo ni mojawapo ya ushauri bora zaidi. ushauri ambao nimewahi kupokea. " alinipa ujasiri mkubwa na bado hadi leo ninapomuona bado ananiunga mkono na bado ananisaidia sana. Ananiambia nijiamini."

[@johncrossmirror]
 
We're so proud of you, Bukayo


Saka has been nominated for the Men's Ballon d'Or
 
Westham watarudi nafasi zao , wamesajili wachezaji wazuri wengi ,tatizo lao moja bado defensive minded team ,Wana wachezaji wakuamua matokeo Kama James Ward Prowse ,Kudus , n.k

Kwasasa naogopa Sana kukutana na Brighton

Mm naogopa Newcastle, vile vijamaa jihad kama wale jamaa wa mid east. Vinakamia sana
 

Nope, kila kitu kitabadilika, Raya is exceptional
 
Spurs Ni timu yakwenda kucheza nayo kwa makini

Wanacheza mpira wa kisasa

Wamefanya maamuz magumu kufukuza Conte na mpira wake wa ujanjaujanja wamenunua GK mzuri kwenye footwork


Kwasasa game na Spurs yakwenda kwa Akili
Tunashinda.
 
Haya ni mambo mazuri kusikia kuhusu timu yetu. Tuombe timu izidi kuimarika na tuanze kushinda mataji sasa.
 
Dah... Andrey arshavin kajamaa kalikuwa ni hatari saana, kafundi ka mpira, kanapiga miguu yote yeye hleb na cazorla ni watu wa kipekee sana
 
Upande wa wanawake tuna wawakilishi wawili pia
Katie McCabe na Amanda Ilestedt

ManCity, United na Chelsea nao wamo
 
MAONI YA SHABIKI


Leo tumzungumzie Kai havertz mjerumani halisia aliyefananishwa na Özil kwa aina ya uchezaji wake ukirudi misimu mitatu nyuma katika wachezaji ambao walikuwa na potential kubwa ya kufanya makubwa huwezi muacha Kai Havertz aliyekuwa ana uwezo wa kucheza namba zote za ushambuliaji

Ili potential ya mchezaji ifike pale inapokusudiwa basi inahitaji misingi mizuri ya klabu na falsafa kwa ujumla

Kwenda kwake Chelsea ilikuwa ni wazo zuri kama Yale yaliyomfanya ashawishiwe kwenda huko yangefatwa kwa kuwa kipindi kile Chelsea iliyofuzu kucheza UEFA ilikuwa na vijana mtupu wakina Pulisic Mount Reece Fikayo na wengineo

Na walikuwa wanaanda project ya muda mrefu Ila yaliyotokea tuliyaona kipindi ambacho team ilikuwa inajitafuta ikamtimua Lampard

Na tunajua mchezaji akisajiliwa anahitaji muda wakufit kwenye mfumo japo sio wote Ila baadhi yao wanahitaji muda kipindi Kai anajitafuta kocha akabadilishwa na tunajua Kila kocha ana falsafa zake

Na Tuchel alifanikiwa kumrudisha kwa kiasi ule ubora aliokuwa nao Leverkusen wakafanikiwa wakabeba UEFA kama mnavyojua Kila msimu kocha inapaswa abadilishe mifumo na mfumo pia unahitaji muda kukubali

Team inaingia kwenye migogoro Tuchel anatimuliwa analetwa Potter fikiria Kai ni mchezaji mdogo bado anahitaji misingi mizuri ya uchezaji unadhani ni rahisi mchezaji mdogo kufikia ubora wake kwa makocha zaidi ya watatu ndani ya misimu miwili

Ni mchezaji yupi huyo nionyesheni ko kama mnaamua kumlaumu basi tumlaumu Arteta kwa kuwa alijua anamsajili mchezaji wa aina gani

Na kuhusu ishu ya pesa walikuwepo wachezaji wa bei Chee Ila Kocha ndo aliyechagua na yeye hajipangi Ila anapangwa

Tumpe muda kama tuliompa Viera ambaye Leo tunataka aanze sio kutwa kumponda mchezaji kama yeye ndo anacheza team nzima peke yake
 
Premier League Manager of the Month nominees:

Mikel Arteta (Arsenal)
Pep Guardiola (Man City)
Jurgen Klopp (Liverpool)
󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 David Moyes (West Ham)
Ange Postecoglou (Spurs)

Who has your vote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…