Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Jesus ni average player sana.

Tena akianzia first half ndo kabisaa.

Touches nyingi,chenga nyingi lakini output ni ndogo.

Haitendei haki namba yake.


Kumaliza mechi mbili au tatu bila YELLOW CARD ni jambo gumu sana kwake.
 
Nami nitaheshimu ya
Nami nitaheshimu maoni yako,

Ubovu wa jesus ni upi? Ni dhambi kubwa kumuweka jesus kwenye kapu moja na kai,

Kingine jesus ni bonge moja la striker mzee, nakubali sio finisher mzuri, when it comes kuhusu boli mguuni, kuleta balaa ndani ya box, kuwafanya mabeki wa timu pinzani wasivute pumzi kwa amani basi jesus hana mpinzani..
 
T
Arsenal kwa sasa hana mchezaji mzuri (talented) kumzidi ODEGARD.
Talented kwa maana ipi.. timu ni muunganiko wa watu wengi, kipa, beki, viungo, washambuliaji.. kila mtu anakuwa talented kwa position yake.

Saliba kwenye suala la kukaba ni very talented, vipi zinchenko sio talented kwa anachofanya, vipi partey sio talented?

Anachofanya saliba, odergad hawezi kufanya walau robo yake, na kwa wengine ni hivyo hivyo, hata anachokifanya yeye kwa position yake wengine si rahisi kufanya
 
Nimependa maoni yako mkuu,kongole kwako,Hakuna Cha kuongezea
 
Akaangalie alivyoingia alicheza Right wing na ku rotate CF, akaangalie alivyokuwa anawanyanyasa kule right wing

Jesus ana vitu adimu Sana,

Ana udhaifu mmoja tu Hana ball striking nzuri, angeipata hiyo angekuwa level za Delima

Na amekuwa akifananishwa vitu vingi na Delima

Jesus anacheza LW,RW na false 9 kwa ufasaha kabisa hizo position
 
Wachezaji wengi hata Arsenal wanakiri hakuna mchezaji Talented Kama zinny
 
TRANSFER NEWS -

Pepe has recieved a proposal from AL Shabab/. Arsenal looking for fee around 2m pounds. Negotiations on going to complete the deal

(@TheSecretScout_ )
 
Jesus ni mtu na nusu.
 
Wachezaji wengi hata Arsenal wanakiri hakuna mchezaji Talented Kama zinny
Mkuu Mimi kwa upande wangu wachezaji wa arsenal ukiniambia nichague mmoja basi nampa Captain Odegard.

Jamaa ni very talented hachoki anajituma yani ni complete set.

Anavyote viwili (talent + hardwork)
 

Attachments

  • C65DB5BE-8DAE-4203-A22E-02E635877B37.jpeg
    41.6 KB · Views: 3
Jesus anajitahidi ila finishing yake mbovu. Inabidi afanye improvements sana .

Kwa uchezaji huu sio tu hatopata kiatu bali hatoingia hata top 5 scorers ktk ligi.

Kucheza mechi bila goli kwake imekua kawaida sana.

Kuna mdau hapo juu Ameongelea pia kuhusu yellow card zinavyomuandama .
 
Mkuu Mimi kwa upande wangu wachezaji wa arsenal ukiniambia nichague mmoja basi nampa Captain Odegard.

Jamaa ni very talented hachoki anajituma yani ni complete set.

Anavyote viwili (talent + hardwork)
Ødegaard Ni talent halafu anauelewa mkubwa Sana tofaut na umri wake

Arteta alisema alimpa ukaptain sababu ukimpa maelekezo anayatekeleza kwa usahihi lakini ana uwezo pia wakuyafikisha kwa wengine

Ndio mchezaji ambaye anakuwa karibu Sana na kocha mazoezini kuliko wengine ,

Lakin kwa Zinchenko yule talent ya kuzaliwa ,ipo tu ,huwa sichoki kumuangalia ,atapiga pass kwenye mazingira yoyote Yale ,ana invert holding, winger , attacking midfielder ,

Mwisho binafsi Zinny anabaki most talented player kwenye timu ya Arsenal , wapo wengi Kama Fabio Vieira, Øde, Smith Rowe ,but Zinny hata mazoezini mpira huwa unamtii
 
Wachezaji wengi hata Arsenal wanakiri hakuna mchezaji Talented Kama zinny

Zinny yuko vizuri sana .

Huwa naumia sana arteta akimtoa zinny au odegard dah!!

Yaani movements zao , maamuzi yao wakiwa na mpira Unaona kabisaa hawa ni baller


Mwakani anaweza akaingia hapa kwenye team of the year

 
Jesus hajafikia peak yake bado, ila ana improvement kila siku, sio kwamba ana finishing mbovu kiasi hicho

Last season katoka na Goli 11 assist 5

Bila injury angemaliza hata na Goli 15-20 Kuna muda alikaa muda mrefu bila kufunga na alikosa miezi mitatu

Tatizo la Jesus ni ball striking tu

Yule jamaa anawafanya wachezaji karibu wanne wa Arsenal wawe Bora , sababu ana uwezo wa kucheza LW Kama winger asilia na ana uwezo wa kucheza RW Kama winger asilia

Martinelli ili awe Bora anamuhitaji Sana Jesus

Gabriel Martinelli:

"We’re all very happy that (Gabriel) Jesus is back, I’ve said multiple times that for me he’s one of the best in the world in his position."

Ukimuweka Jesus kwenye level za finishing ya kina halland utamuona wa kawaida ,

Jesus huwa namchukulia sio CF ,Ni false 9 hasa
 
Yule jamaa akiwepo tu najua siku hiyo tutamiliki Sana mpira

Juz Martinelli kawaka Sana , kamfanya bisaka asababishe karibu Kona 8, maana kila muda Martinelli analetewa mpira

Arteta alimtoa kumlinda ,kwa 4-3-3 tunamuhitaji Sana ,

Nataka kuona ule upande

Zinny Vieira Martinelli

Ukiwa LCM na LW mtapewa mipira kila mara na Zinny , tungekuwa wafanisi wa kutumia Kona tungeshinda nyingi

Upande wa Martinelli ulitengeneza Kona zinaweza kuwa 5+ ,jumla tulipata Kona 12
 

Nimecheka tu hapo uloposema mpira una mtii
 

Upande wa saka naona mechi ya juzi haujawa active sanaa.

Alivoingia tomiyasu kidogo kukawa na movements.

Sjajua kati ya Ben whites na tomiyasu yupi anaweza kucheza na saka vzuri.


Tomiyasu naona hapewi kipaumbele na arteta au itakua anazingua mazoezini.
 
Ni kweli jesus finishing yake si nzuri sana, ila si mbovu kama tunavyoaminishana

Hivi msimu uliopita aliumia akiwa kaishafunga goli ngapi? Katika game ngapi, akiwa katika position gani?
Je mtu wa 5 msimu uliopita alikuwa na goli ngapi?

Kama arteta atampa nafasi, game zilizobaki asiumie, nakuhakikishia atafunga zaidi ya goli 15.
 

Unpredictable, sometimes anacheza vizuri, siku nyingine average siku nyingine below average
 
Dimitar Berbatov:

"I love Havertz because he came from Leverkusen where I played for five years. I will always back him to succeed but it is going to be tough and he can feel it and sense it.

"I can see by his performance, that he knows that he needs to do better. He knows that fans, some of the fans, let's say or the general public are a bit like: 'He's not performing well, he's not giving assists, scoring goals or creating chances' as much as everybody is expecting.

"So that's why I want him to not overdo things. Don't overcomplicate things, don't be like: 'Yes, I'll show you. I will show everybody.' Because of this, you start to overcomplicate the game.

"You just try to stay calm as difficult as it is, and trust me, it is difficult, I've been there. But try to stay calm as much as you can and just play the way you used to play. Don't do much else and it will come trust me. It will come. The moment you start overcomplicating stuff, it's not going to work out." [@ReidTheGame]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…