Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta kuhusu mashabiki kutoshawishiwa na Havertz baada ya mechi tatu:

"Zaidi ya miezi miwili [watu hawakushawishiwa na Ødegaard]. Gabriel MagalhΓ£es alikuwa hivyo hivyo. White hakuweza kucheza kama beki wa pembeni. Ramsdale hakuwa mzuri na sasa unasajili golikipa mwingine, ni balaa! Saka alikuwa beki wa kushoto, eh? Sasa anacheza winga wa kulia. Granit Xhaka, tuna mifano mingi sana, mifano mizuri. Wachezaji wanapaswa kupenda wanachofanya na nadhani wanapenda zaidi wanachofanya wanapohisi kuungwa mkono.” #afc
 
Partey nje wiki 6

Kutoka kwa Mwandishi Sami Mokbel81

Arsenal hope to have midfielder Thomas Partey back after October international break. Set to miss at least six weeks with groin/thigh injury. Story:
 
Guys never learn.

Wengi mlianza kumkataa Vieira, bado tunahitaji mengi lakini you can see he's not a shit player kama wengi mlivohubiri humu.

Bado hamjaniingiza kwenye mtego wa Harvetz. Ntamsapoti mpaka mwisho.View attachment 2738244
Mimi sijawahi mkataa huyu kiumbe, nilikuwa natamani huyu apate mud wa kucheza mwingi mbele ya xhaka, hilo lingefanyila huenda leo angekuwa bora zaidi ya hivi.
 
Smith Rowe, Trossard,Raya Vieira ,JoJo, Hawa waanze kupata nafasi mechi za UCL league Sasa
 
Sijui kwasababu nampenda Martin Ødegaard

Akiwa maeneo yale huwa nahesabu kamba ,ana ball striking ya kutosha

Goli la Jesus tamu sababu alitulia Sana,hakuwa na wenge
Yote yote ni sawa tu, kila goli n utamu wake pale.
 
Mimi sijawahi mkataa huyu kiumbe, nilikuwa natamani huyu apate mud wa kucheza mwingi mbele ya xhaka, hilo lingefanyila huenda leo angekuwa bora zaidi ya hivi.
Mim niliamua kusubiri maana namba zake kule ureno zinatisha aliongoza kwa assist,hivo nilijua ana kitu

Kuna mechi aliingia dk ya 3 , Xhaka aliumwa Vs wolves ,alicheza as LCM, aliitendea haki ile namba na ndio ubora wake upo hapo

Japo naona Arteta anataka kumzoesha na RCM , maana LCM Kuna mtu Kama 5 hivi zinapigania namba 1, Smith Rowe, Trossard,Kai, Rice , Vieira
 
C O Y G
🀟✊πŸ’ͺπŸ€™πŸ™ŒπŸ‘Šβ˜οΈπŸ‘‰
 
Wakati wanatoka mapumziko ya kipindi cha kwanza Zinny alionekana kwenye Tv akimpa Kai maelekezo kuhusu positioning wataalamu wa body language tulielewa.
Niliona ,na hii Ni sababu ndio wanacheza kwa mara ya kwanza ule upande ,

Ila Zinny sipendagi atolewe sub, ndio cheat code wa mfumo wetu, mbwa yule atapiga pass za mbele kila muda
 
Hivi Uefa ndo michuano miepesi kidogo eeh hadi tubadili best 11 kiasi hiki?
hapana mkuu ila lile kundi letu la kiboya Sana

Wewe siutaona tusipotoka na points 15-18 Basi itakuwa maajabu

Nimelipenda maana litatupungumzia mzigo ,kifupi UCL itaanza mwezi wa 2 round 16 ,hapo tumeshasajili January

Lile kundi Ni la Europa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…