Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Declan Rice vs. Manchester United.

Goals: 1
Passes: 64/73 (88%)
Passes into final third: 13
Aerial duels: 3/3 (100%)
Recoveries: 5
Interceptions: 3
Clearances: 1
Dispossessed: 0

WORLD. FUCKING. CLASS.
 
Kai anahitaji kupewa muda kwa kuanza au bench ,ile nafas ya LCM Ni ngumu Sana ,

Martinelli was struggling this season as he lost the 3 players around him from last season in Zinchenko/Xhaka/Jesus. Zinchenko returns today and Martinelli was back to his best. Shows the importance of chemistry for players, something to remember with regards to Havertz.
 
Fundi tunamsahau Sana huyu

Akiingia hanaga show mbovu

Reis Nelson

Hivi Trossard hakucheza Jana

Smith Rowe hakucheza

View attachment 2738235
Wacheze wapi kocha analazinisha kai acheze.

Ni vema kai akiingia timu haina presha ya matokeo ili acheze bila presha apate kujiamini, nadhani kai mwenyewe tu ana presha ya kuonesha thamani yake.

Kuna kitu pia arteta hajakiona, kai dk za mwanzo anakuwa hovyo, game na fulham nilikuwa namtizama yeye tu, mpaka dk ya 29 alikuwa anaruka ruka tu, kuanzia ya 31 ndio atleast na hata alivyotoka mapumziko alicheza cheza kidogo,hata jana baada ya mapumziko kipindi cha pili atleast aliruka ruka kidogo.
 
Awali ilisemwa amekosea kumpa u captain
Sio kukosea, kuna ile haiba ya ukapteni hana, ila ndio hivyo mwalimu anampenda sababu anaonesha kile mwalimu anataka.

Ukimuangalia rice, partey, saliba hawa watu wana uhaiba wa ucaptain.

So hatusemi kakosea, ila kila mtu alitoa mawazo yake kwa anavyoona.

Mfano salah akivaa C ni tofauti na virgil van dijk
 
Man u bado mnaishi zama za fergie huku sasa tupo zama za VAR technolojia y mstari haiwezi feli ikiwa VAR itachora lbd marefa wapuuzie kuna tofaut kati ya camera angle ambapo macho yetu huona na mstari square wa VAR enzi za fergie kila msimu mnlikuwa mnajiokotea point zaid ya 15 za wizi msipobadilika msimu huu next year mtacheza comference sabb kiuchezaji mnaonyesh nyie ndio timu dhaifu kuliko zote pale big7 kuna timu hata ikifungwa unaon kbx mpira upo sasa nyie mnaishi kwa counter attack mifumo ya kipind cha ujima
 
Ni kweli anahitaji muda, ni vizuri akitokea benchi kumuondolea hiyo presha.
 
Jesus ni mtu na nusu, ni top class player.
Napenda upambanaji wake, ana force kuingia kwenye box, boli limekaa mguuni, mnyumbulifu.. si finisher mzuri saaaana ila kwa hayo mengine kwa strikers waliobaki duniani pengine yeye ni bora zaidi.
 
Nilikua naona Martinelli hamuamini Kai, akipata mpira Kai akitokea Martinelli anatafuta njia kwingine.

Katika games nne za points 12 tumepata 10. Siyo mwanzo mbaya hata kidogo. Kilichopo benchi lione ni kivipi tunaweza secure points nyingi zaidi
Hii ishatokea game na everton kama sikosei song ikafika point akawa hamuamini gervinho kuna mpira wa kumpasia yupo kwenye nafasi anafosi kumpa van persie.
 

Umeongea ukweli ambao mashabiki wa manjesta hawataki kuusikia

kocha katumia £450m timu bado Ina average players wengi ,Kuna Pesa nyingi katapanya kwa average players

Sipati picha Mikel angetumia hiyo hela halafu timu iwe inacheza kifala hivo,

Mikel katumia £450m kuunda timu shindani na yenye squad ya thaman kubwa duniani ,
 
Mashabiki wa manjesta wanasema Jana Saka alikamatwa na dalot
 
Jana nilikuwa najaribu kumtafuta Bruno Fernandes nikawa simuoni🤠🤠🤠...Casemiro naye nikawa simuoni sijui alijificha wapi🤠🤠🤠....aliyeleta kashkash ni Eriksen...rashidi Makame na Antony...Hawa ndo waliubonda kidogo...halafu ile rafu ilochezwa na yule Lindelof kwa Nketiah ilikuwa red card kabisa maana kainua njumu kumtandika msela mguu wa usoni ila ndo hvyo tushazoea Man U kubeba🤠🤠🤠
 
Yah kwasasa baada ya mwaka Ni muda wa Fabio Vieira kupewa muda Sasa

Ninachokataa watu kumponda tu

Kwa mech hizi 4 amecheza LCM na False 9

Hajafanya vibaya Wala vizuri
Fabio(mara nyingi akitokea benchi ni mtamu zaidi, aongezewe muda wa kuingia)
Trossard na rowe pia wanahitaji nafasi, tumekataa kuwapa Chelsea halafu anakaa benchi si jambo zuri.

Kwangu nasema kai kafanya vibaya, bado hajaonesha, bado anapaswa kuongeza juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…