Hii game inahitaji penetration balls nyingi kwenye midfield, Fabio Viera angetupa kitu zaidi. So long Haverts anakosa ball progression prowess; pasi zake nyingi ni either side pass au back pass.
United bado wanafanya swarming kama ndiyo base yao ya defense. The better way kushinda ni mpira unaotembea huu wa sasa unawapa muda wa kufanya swarming
Subiri baada ya mechi mchambuzi nguli Jf hamis77 akuletee uchambuzi kuhusu incredible contribution ya Kai Havert ,huwezi kuona mchango wake kama hauna jicho la kichambuzi.