Hii mechi tutakuwa na shida sana defensively,yaani kuna zaidi ya mtu mmoja wanaohitajika kusaidiwa defensively.
Upande wa zinchenko na kai tuombe mungu.kwa wings za hawa jamaa na kama watafanikiwa kuwa na intensity kubwa basi kuna mahali tutateseka.
Very positive naamini game tutashinda japo kwa mateso.
#arsenal NDOO
#nketiah kiatu