Waliohamia Newcastle Bora waamie Brighton kabla ligi haijafika mbaliNewcastle kapakiwa mkongo huko na wahuni
Kama kweli partey kapata injury, nadiriki kusema ni muda sahihi wa kutuachia timu yetuPartey Kuna tetes Ni injury
Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka
Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu
Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4
Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa
Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani
Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Licha ya injuries ila kiukweli Partey ni Bora kuliko Rice na Jorginho. Na kama issue ni injury prone mbona Zinchenko na Jesus hawauzwi?Partey Kuna tetes Ni injury
Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka
Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu
Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4
Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa
Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani
Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Ameumia mazoezini...mda wa kuwa nje haijulikani...atakosa mechi za kirafikiKama kweli partey kapata injury, nadiriki kusema ni muda sahihi wa kutuachia timu yetu
Hakuna kitu kinaniuma kama kukosekana kwa Partey kwenye Dimba la Chini palePartey Kuna tetes Ni injury
Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka
Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu
Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4
Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa
Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani
Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Partey auzwe tu, ameshakua liability upande wetuAmeumia mazoezini...mda wa kuwa nje haijulikani...atakosa mechi za kirafiki
Mwite kwa sauti mkuuLabyrinth 84 team yako niaje?ndio one season wonder au
Kuna taarifa pia zinadai mazoezi ya leo alikuepo.Partey Kuna tetes Ni injury
Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka
Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu
Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4
Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa
Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani
Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Hyu huwa anakaza shingo hmu ndani kutetea kigenge chake kama Wana maana vile....Almiron na Gordon wakupe ubingwa kwli??🤠🤠🤠...nilimwambia ile timu wanachojua ni kukimbiakimbia tu....leo wamekutana na mwanamahesabu wametupa tauloLabyrinth 84 team yako niaje?ndio one season wonder au
Anaweza akafichwa vilevile...mechi za kirafiki zikipita mkamuona uwanjani anacheza 🤠🤠🤠Kuna taarifa pia zinadai mazoezi ya leo alikuepo.
Unakuta amekomaa kutaja majina ya wachezaj wake Average utazani ndo galacticos wa enzi zile za kina Beckham,Zidane,Carlos,Ronaldo wale tuliowambwaga Shanga UEFA kwa bao la TH14, ndo kina willson, almiron haoHyu huwa anakaza shingo hmu ndani kutetea kigenge chake kama Wana maana vile....Almiron na Gordon wakupe ubingwa kwli??...nilimwambia ile timu wanachojua ni kukimbiakimbia tu....leo wamekutana na mwanamahesabu wametupa taulo
Kuumia kwa Chapartey sijapenda kwa kweli, kipigo cha kesho mtakua mmepata tayari sababu ya kujitetea, msimu ulioisha baada ya kuwagonga 3-1 mlisingizia kutokuwepo kwa chapartey ndio sababu ya kufungwa.Ameumia mazoezini...mda wa kuwa nje haijulikani...atakosa mechi za kirafiki