Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Players & coaches after meeting Arteta: “he sees and thinks the game at a different level, every detail has an explanation for it”

Mashabiki uchwara: “just go back to the back 4 mate!”



#Arsenal
 
Bado narudia manjesta hauna timu yakupata hata sare pale Emirates

Hao mashabiki Ni wehu Kama wewe


Hao hao mashabiki ndio unakuta waliosema wamehamia PSG au Newcastle,

Mashabiki wa Arsenal Ni smart na Wana uelewa mkubwa wa soka
 
Sasa wewe unavyosema Erik hafai umewahi kufundisha timu gani mzee?

Mbona unaanza kuleta hoja za kinyumbu?

Binadamu tumejaaliwa akili, hizo ndiyo tunatumia kufananisha na kuchanganua. Akili zako zinakuaminisha Kai ni mchezaji mzuri kwa mwingine haipo hivyo.

Mimi hua nasema Pochettino mbovu wewe unasema ni mzuri na kila.mtu anatoka hoja zake. Kwanini kwa Arteta hutoi hoja unakimbilia hoja anazotakiwa kuleta nyumbu?
 
Hamisi anatupa burudani kama ya MR BEAN
 
Ili wazee humu ndani mmezidi aisee haswa nyie fans wenzangu wa arsenal...mm sioni kosa la hamis77 yan hadi nyie mnafata mkumbo wa timu pinzan mnamsema..kwan kuna kosa mtu kutetea timu yake?? Hiv mnajua maana ya ushabiki nyie hata kama anaongea kwa mahaba sabb ni shabiki na hilo namsapoti badala nyie muwe na ushabiki basi kutwa mnamsema.

Kuna haja gani ya kuwa na jukwaa la.arsenal sasa ikiwa mashabiki wanamzodoa mwenzao?..haiingii akilini kuna shabiki wa timu nyingne anakuja kuprovoke hapa kisa kai na arteta then wote na nyie mnawaunga mkono.

Haya tuseme sawa kai hajui, arteta hajui sasa wewe kama fan wa arsenal impact yako nn zaidi ya kuzidi kuonyesha umoja sabb tayr ni timu yetu na ndo wa kwetu.

Acheni unafki bwana inaonekana humu watu wengi mna unafki sana yan sjui kwann hammkubali huyu jamaa wakati mm namterm as shabiki wa kweli hana hisia mbili mbili.

Acheni mambo ya kiswahili nyie fans wenzangu wa arsenal tuwe kitu kimoja msiwape wapinzan picha kwamba sisi wenyewe hatupendani, huo ni uswahili na unafki yan mtu anjiita kabsa shabiki wa arsenal halaf anamsema mwenzie maneno kibao kisa tu ana mdefend kai na arteta acheni mambo ya kiseng*.
 
Masingeli unauponza ujueeee shauri yako, maana kesho sio mnachezea kipigo bali ni mtachezea kipigo cha mbwa koko.
 

Attachments

  • FpsSeiBXsAA5Ddf.jpg
    78.7 KB · Views: 1
Halaf kesho ikishinda ni nyie nyie mnaanza mbwe mbwe tena stupid fans
Unakurupuka tu kijinga jinga tunaongelea mfumo humu wa sasa jinsi unavyopwaya so kama Hamisi anaukubali wengine wasiusemee ili?grow up young boy myself siwezi kuargue na anybody ambaye atakuwa kinyume na mwenzake sometimes hata bosi wetu hehehehe Hamisi nakubaliana sometimes sikubaliani nae licha wote ni Arsenal fans
 
Masingeli umekuja na ID nyingine kuomba support kwa wale wanaopinga porojo zako?
Yaani Masingeli unataka humu watu wote wanaojiita ni mashabiki wa Arsenal basi lazima wakubali kua misukule?
Yaani humu hata mtu akipinga kitu kwa hoja bado anatasingiziwa kua ana chuki binafsi na Masingeli au yeye ni Mamluki.
Mbona kwenye majukwaa mengine ya Chelsea, Liverpool, Manchester watu wanapingana kwenye hoja na kuwakosoa wachezaji mpaka kocha lakini huoni wakibughudhiwa, wakibezwa, wakikejeliwa au kutukanwa na kuitwa mamluki, ila humu ukimpinga Masingeli tu moja kwa moja unaonekana wewe ni mhaini!!!!!!!
 
Eti haujawai kuwa kocha ata timu ya kanisa
 
Yaani humu kua Arsenal fan ni lazima ukubali kua wote mna akili moja, ukikataa ukondoo unaonekana wewe ni mamluki.
Humu kuna umuhimu wa kuanzisha kampeni ya kataa ukondoo maana watu wamefungwa akili wamekua kama misukule.
 
Yaani humu kua Arsenal fan ni lazima ukubali kua wote mna akili moja, ukikataa ukondoo unaonekana wewe ni mamluki.
Humu kuna umuhimu wa kuanzisha kampeni ya kataa ukondoo maana watu wamefungwa akili wamekua kama misukule.
Ww ni mzee wa kuuma na kupuliza😅😅😅...unajua litimu lako livivu na kule kwny jukwaa Lenu huwa unatapika kwlikwli...Sasa ile spirit unaleta hdi hmu kufarakanisha watu...kapambanenj kumtoa glazer kule sio kutuletea vita hmu ndani....Kai anatupa burudani sana🤠🤠🤠
 
Hamisi anatupa burudani kama ya MR BEAN
Hahaha dah
Duh na matusi mmeanza.

Mpira siyo uchawi kwamba unafanyika sirini, upo wazi kila mtu anaona.

Nakupa mfano:

Aaron Ramsey alikua shit, na fans tukakubaliana na Wenger akakubali matokeo akaanza kumpa dakika kidogo kidogo. Baadaye akawa lit na fans wote tukakubali kwamba kweli Ramsey kaiva.

Shida inakuja hapa. Muda ambao Wenger ilibidi asubiri kujiaminisha kwamba huyu mtu anahitaji dk kidogo kidogo kuna games tulisuluhu zingine tulifungwa.

So kwa Kai Arteta anaamini kuna spark jamaa anaikosa na ataipata akimpa dk zaidi. Shida ni kwamba kutokana na hilo inabidi Gabriel akae benchi, Partey awe RB na upande wa Kai tangu aanze umekua ndiyo upande ambao hauzalishi mashambulizi.

Kwahiyo usidhani watu tukiandika ni kwa vile hatuangalii mechi na hatujui timu yetu imetokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…