tupo deep kwenye mechi, huyu di natalie lazima wamuangalie sana, wanasema condition uwanjani ni very humid, hii inatufanya ku slow down kidogo.There are currently 11 users browsing this thread. (5 members and 6 guests)
- Questt
- mfarisayo
- Kweli
- mbongowakweli
- Arsene Wenger
- Wadau tumepooza sana... Kunani??
Sasa kazi kwetu kutafuta goli.
Acha tufungwe labda ndio kutampa fundisho huyu mpare
Ndo nani tena>???????
hawa jamaa sio wazuri kiivo........We will come back in this.....
Kila nikiona post zako mkuu nakumbuka hiyo avatar ya game theory hapo juu, yaani kama nakuona unavyoangalia mpira na mkono kwenye paji la usoHaya wakuu tuone mpira sasa 1 - 1
Tatizo hatuna creativity hapa kati, unamuona RVP anahangaika kila position kubuni something, Gervinho na Walcott decision na movement zao ni off-limit, final ball ndio tatizo kwao wote wawili, tunahitaji labda mashambulizi kuanzia midfields players, hawa jamaa wanacheza counter-attack na kwa sababu humid condition wanatusumbua sana.