Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna namna arsenal inabidi wajifunze namna ya kuuza wachezaji.

Rob holding kwa £4 hii hapana.

Palmer ameuzwa kwa £ 40
Folarin euro 40

The negotiation team wajitazame.chelsea kauza magarasa yake kwa bei nzuri mno.
 
Kuna namna arsenal inabidi wajifunze namna ya kuuza wachezaji.

Rob holding kwa £4 hii hapana.

Palmer ameuzwa kwa £ 40
Folarin euro 40

The negotiation team wajitazame.chelsea kauza magarasa yake kwa bei nzuri mno.

Mchezaji kuuzwa kwenye deadline day suggests that buyers were not interested in him, basi ni bahati he has been sold. Without disrespecting him, he is not a kind of sought after defender.
 
Mikel anasema asingecheza back 4 wakati Zinny hayupo ,

Tactics zinaamua hivo


Niliyasema haya ,na Leo kayasema ,thus why Flano na Genge lake hawataki Mimi kuitwa mchambuz nguli
Mc Masingeli acha kujishtukia, hakuna yoyote anaepinga wewe kuitwa cha-Mbuzi.
 
Niliwahi uliza humu wanao questions tactics za Mikel ,je mmewahi fundisha hata timu za kanisa au msikiti?
Kwahiyo Arteta kwenye press conference zake akisema " hamis77 nataka nikugonge" na wewe unakubali?

Kuna ushabiki wa mpira halafu kuna mipasho. Wa kiume hatakiwi kuwa na mipasho, hasa ukiwa mshabiki wa Arsenal.

Punguza mipasho mtoto wa kiume maana nikikuambia uache kwa haraka haraka kwa kuwa ni tabia yako hutoweza.
Unatupa sifa mbaya wana Gunners.
 
Mkuu umemchoka mwana Gunners mwenzio.

Jamaa ni kama nyumbu fulan ivi hana aibu msimu uliopita alikua anajitekenya na kucheka ivi ivi mwsho wa siku alikimbia kama kaona nn sijui akawaacha na wajinga wenzie baadhi hawajui kapotelea wapi.

Huyu ww ukiwa negative na Arteta bas ujue kbs umetafuta vita nae ya 3 ya dunia.
 
Huyu jamaa wa ajabu aliwatelekeza wenzake utafikiri Team imekuwa ya 16,kumbe usiongee ukamaliza anashindwa akili na chungu anaweka akiba ya chakula masika yote.
 
Kwa upeo finyu wa Masingeli Arteta ni Malaika, hakosei. Kila kitu kwake yeye ni sawa as long as ni Arteta kasema.

Huu ni ushabiki uliopitiliza. Anawaambia kondoo wake msiwe kama mashabik wa Man u au chelsea kuwakosoa makocha. kama kocha anazingua asikosolewe kisa hatujawahi kuwa hata kocha wa timu ya kanisa.
 
Naona unafika mbali kijana ,Wala sijakutaja

Ila kwakuwa unanifatilia endelea

Najua unachuki kubwa na Mimi ,

Hakuna nilipokutaja ,ila kwakuwa unawashwa umejishtukia , Kama unataka basha nipo nitakushughulikia ,
 
Kuna namna arsenal inabidi wajifunze namna ya kuuza wachezaji.

Rob holding kwa £4 hii hapana.

Palmer ameuzwa kwa £ 40
Folarin euro 40

The negotiation team wajitazame.chelsea kauza magarasa yake kwa bei nzuri mno.

Tofautisha kuuza mchezaji kwa big teams na mid teams

Rob Holding hakutakiwa Arsenal ,na ana miaka 27

Palmer Ni kinda bado,

Arsenal inawaondoa wachezaji isiowataka,

Huwez kuona kenge yeyote akiulizia mchezaji muhimu wa Arsenal

Wamekuja waarabu kwa Partey,Magalhaes hata Bei hawajatajiwa
 
Wewe hata kukujibu siwez maana Ni sawa na mwanangu wa darasa la 3
 
Vipi kuhusu balogun?
Yeye na Hojlund yupi ana takwimu bora?
Kubali tuu kwenye swala la negotiation Arsenal wanazingua.
 
Vipi kuhusu balogun?
Yeye na Hojlund yupi ana takwimu bora?
Kubali tuu kwenye swala la negotiation Arsenal wanazingua.
Balogun kauzwa wapi ?

Hao wanaonunua kwa Bei hizo Ni timu za EPL

Kaangalie wanaonunua kwa Bei za kumwaga Ni timu za EPL

Ndio Maana Smith Rowe alipotakiwa na Chelsea ,Arsenal ilisema labda €100m


Huwez kupata mteja kwa nje ya uingereza anunue kwa €80m ,Ni timu zinahesabika PSG, Madrid ,

Arsenal kamuuza balogun kwa €40m lakin ali demand 20% clause sale ,
 
Arsenal Champions League fixture dates:

Wed Sep 20 - Arsenal vs PSV
Tue Oct 3 - Lens vs Arsenal
Tue Oct 24 - Sevilla vs Arsenal
Wed Nov 8 Arsenal vs Sevilla
Wed Nov 29 Arsenal vs Lens
Tue Dec 12 PSV vs Arsenal
 
Vipi kuhusu balogun?
Yeye na Hojlund yupi ana takwimu bora?
Kubali tuu kwenye swala la negotiation Arsenal wanazingua.
Arsenal ilisema kwa timu za EPL kumtaka Balogun Ni £50m+ ndio maana Spurs na Chelsea wakarudi nyuma

Nje ya EPL kwa Balogun ile Bei ni nzuri Sana ukizingatia hajawahi kucheza hata mechi 5 za EPL, with 20% sale clause ,
 
Arsenal's transfer window concludes with the sale of Rob Holding to Crystal Palace in a deal worth around £4m.

Including add-ons, Arsenal spent around £210m on transfer fees this summer, and generated around £80m through sales. Net spend of around £130m. #AFC
 
Masingeli amesababisha mpaka timu yake sasa hivi inaitwa Domodomo Fc.
Ndugu yangu Masingeli kesho Nyumbu tukiwashona utafute tu pakujificha maana Arsenyau wenzako wanalalamika kua msimu ulioisha mmekosa kombe kwa sababu ya domo lako.




#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…