Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,341
- 4,026
Sasa ww una nini mkuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....mbona unazungukazunguka sana....nimekuuliza ww umeshinda ubingwa wa ligi mara ngapi tangu mpira uanze kuchezwa Pale Uingereza...halafu ww mara ya mwsho kucheza UEFA ni lini[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...na ulifika wpi....jibu hyo maswali ndo tuendelee...mi nimeshawahi kucheza fainali ya UEFA na Europa zte nikafungwa....ww tangu klabu imeumbwa umewahi kucheza fainali ya UEFA au Europa[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kwhyo kipindi chte hupati nafasi ya kushiriki ulikuwa unacheza ligi ya mchangani au hiihii ligi kuu 🤠🤠🤠...eti ndo mara ya kwanza nashiriki😅😅😅...ndo maana nasema ww bdo mtoto mdogo...lini Arsenal alikuwa anatoa hela za maana kununua wachezaji kama sio misimu kama miwili nyuma ndo tumeanza kuona hyo ambition....kipindi cha Wenger sisi na nyny hakukuwa na tofauti maana tulikuwa na vikosi vinavyofanana ila na violkombe vya chai tukashinda....narudia tena...kiuhalisia hmu wa kutuvimbia ni Manyumbu..machelkenge na livakuku ila sio ww Nyukesto...bdo mtoto mdogo sana....wafundishe kina Almironi mpira kwanza ndo uje kupiga kelele hmu🤠🤠🤠Mimi sina chochote na wewe huna chochote utofauti tu wewe umeshiriki zaidi ya miaka 20 hakuna ulichokipata tofauti na mimi ambaye nipo mwanzo wa kukitafuta na kukipata.
Akili ya losers siku zote ni kushindwa yaani unafurahia kucheza fainali zote ukafungwa.
Kuna ile movie yenu yenyewe inaonyeshwa jinsi mlivyo “ALL OR NOTHING “ kati ya hivyo viwili mlipata kipi kama sio NOTHING[emoji23]
Kwhyo kipindi chte hupati nafasi ya kushiriki ulikuwa unacheza ligi ya mchangani au hiihii ligi kuu [emoji1783][emoji1783][emoji1783]...eti ndo mara ya kwanza nashiriki[emoji28][emoji28][emoji28]...ndo maana nasema ww bdo mtoto mdogo...lini Arsenal alikuwa anatoa hela za maana kununua wachezaji kama sio misimu kama miwili nyuma ndo tumeanza kuona hyo ambition....kipindi cha Wenger sisi na nyny hakukuwa na tofauti maana tulikuwa na vikosi vinavyofanana ila na violkombe vya chai tukashinda....narudia tena...kiuhalisia hmu wa kutuvimbia ni Manyumbu..machelkenge na livakuku ila sio ww Nyukesto...bdo mtoto mdogo sana....wafundishe kina Almironi mpira kwanza ndo uje kupiga kelele hmu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Ko arsenal alikuwa na back up ya pesa🤠🤠🤠...huwa unafatilia kwa ukaribu madirisha ya usajili kuona jinsi mashabiki wa Arsenal Dunia nzima walivyokuwa wanalalama namna klabu ilivyokuwa haitoi pesa kusajili kipindi kile...halafu unazungumzia Nketiah🤠🤠🤠....mechi ngapi ametupa points 3 hyu dogo....unapozungumzia ukubwa wa mchezaji unazungumzia nafasi anazopewa kwny timu au aina ya timu anayochezea🤠🤠🤠....umecheza mechi 3 mpk Sasa na una point 3 mkuu🤠🤠....nilikuambia ww bdo ni WA kawaida sana bwana mdgo na hiko kikundi chako cha mdundiko....utakuja kunielewa vzuri mpk tukifika January uone ulipo....hiyo nafasi mloshika mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...utawapisha kina Liver...Chelkenge na Manyumbu...ww utarudi mtaa wa saba huko😅😅....maana ndo level zenu hzo...wafundishe mpira vzuri kina Gordon na Almiron ndo uje kubishana hmu ndaniHatukuwa na backup ya pesa kama nyinyi wala ambition za ubingwa hazikuwepo kutokana na uchumi wa club. Uzuri unakubali kwamba hatuna tofauti kwenye champions league japo mmeshiriki mara nyingi zaidi.
Almron amesajiliwa kwa pesa ya kawaida tu na mpira anaopiga ni mkubwa kuliko Nketiah + viera+ kai ukibisha tukuletee stats hapa kama kawaida ukimbie .
Arsenal wengi timu imewafanya mchanganyikiwe ndo maana Nketiah bado mnamuona dogo janja et young player[emoji23][emoji23] sasa kina gordon watakuwa kina nani?
Gordon , Tonali, isak ,botman, nunez, szoboszlai, foden wote hawa wote ni wadogo kwa nkentiah lakini huwezi kukuta wanachukulia kama young players kwenye clubs zao sababu ya win mentality iliyopo kwenye hizo clubs nyinyi sasa yaani mnamchukulia jitu zima Nketiah kama vile ndo gordon au palmer.
Mnatiana ujinga eti ana finishing nzuri [emoji23] uwe na finishing nzuri umalize msimu na goals 6 si vituko ivi mnaleta[emoji38]
Ww leta stats zte hmu ndani🤠🤠🤠...ila sisi hatutegemei mtu mmoja kufunga mkuu....kaangalie kwny ligi Tano Bora duniani Arsenal ilifunga magoli mangapi kwa ujumla na ilikuwa ya ngapi miongoni mwa timu zilizofunga magoli mengi ndo utaelewa🤠🤠🤠....kama kuna timu zaidi ya Man City na Dortmund zilizotupita kwny hlo basi itakuwa maajabu sana😅😅😅....nyny bdo ni wadogo sana....ngoja tukutane hlfu tuwaoneshe kwmba nyny bdo ni watoto wadogo sanaView attachment 2735782
Comparison btn dogo janja garnacho vs best finisher wa arsenal [emoji23][emoji23] .
Garnacho age 19 vs Nketiah 24
Minutes palyed 560 vs 1070 minutes
Match started 5 Vs 9 match stared
Subbed on 14. Vs subbed on 21
Subb off 7. Vs subb off 1
Ko arsenal alikuwa na back up ya pesa[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...huwa unafatilia kwa ukaribu madirisha ya usajili kuona jinsi mashabiki wa Arsenal Dunia nzima walivyokuwa wanalalama namna klabu ilivyokuwa haitoi pesa kusajili kipindi kile...halafu unazungumzia Nketiah[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....mechi ngapi ametupa points 3 hyu dogo....unapozungumzia ukubwa wa mchezaji unazungumzia nafasi anazopewa kwny timu au aina ya timu anayochezea[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....umecheza mechi 3 mpk Sasa na una point 3 mkuu[emoji1783][emoji1783]....nilikuambia ww bdo ni WA kawaida sana bwana mdgo na hiko kikundi chako cha mdundiko....utakuja kunielewa vzuri mpk tukifika January uone ulipo....hiyo nafasi mloshika mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...utawapisha kina Liver...Chelkenge na Manyumbu...ww utarudi mtaa wa saba huko[emoji28][emoji28]....maana ndo level zenu hzo...wafundishe mpira vzuri kina Gordon na Almiron ndo uje kubishana hmu ndani
Umesema mwenyewe Emery kabaniwa kupewa pesa 🤠 🤠....Pepe alimleta nani🤠🤠🤠...halafu kipindi sisi tunashika hzo nafasi za sita nyny mlikuwa mnashika ya ngapi mkuu🤠🤠🤠....unaweza ku compete na beki ya kina Mustafi....mbona unaongea kama ulikuwa sio mwenzetu kipindi kile tukiteseka wte....Aubaumeyang...kina Ozil...sijui Xhaka...unawaxgezesha ndani una Maitland Niles na Mertesacker unategemea uchukue ubingwa🤠🤠🤠....inaonekana kumbe nabishana na mtu ambaye hajui lolote kuhusu mpira....Man City amenifunga mwaka jana ni kwli kabisa....kwni mwaka huu ufunguzi wa ligi matokeo yamekuwaje mkuu🤠🤠🤠....na nyny mlocheza nao watu mmepumzika wiki nzima...wenzenu wamepumzika siku moja na bdo mkalambwa...nani ni kilaza hapo🤠🤠🤠....halafu hao Livakuku wanapewa red card kipindi cha kwanza na tyri unaongoza halafu mpira unaisha ukiwa umebiduliwa tyri...na ww unajiita competitor🤠🤠🤠....narudia tena ukimaliza top 4 mwaka huu katambike...na UEFA ukivuka hatua ya makundi tutaweka kwny ajabu la nane la Dunia....nyny bdo watoto wadogo sana🤠🤠🤠Unaongea kama vile hapo top 4 umepazoea labda ngoja nikukumbushe tu kidogo 2016/2017 -5 , 2017/2018 - 6 , 2018/2019 - 5, 2019/2020 -8 , 2020/2021 -8 , 2021/2022-5 .
Kuna mwaka ulikua unapishana point 2 na Sheffield united ukaachwa na wolves point yaani kubahatisha this season unataka kuwakata wenzako yaani una miaka 2 mfululizo unashika nafasi ya 8 [emoji23][emoji23] leo sehemu yako pendwa unaikata na washikaji zako kina wolves unawakana .
Usijifiche kwenyewe suala la kutotoa hela hilo si kweli kabisa kina auba, mustafi , sanchez, ozil ,xhaka na pepe wote hawa mmetoboka pesa ndefu .
Newcastle imefungwa na man city na liverpool timu ambazo hutakaa upate matokeo yoyote this season , atleast hata Newcastle tukikutana na city tunaonyesha uhai sasa wewe emirates umekula 3 ukaenda etihad ukala chuma 4 na hapo ulikua umejipachika jina la title contender [emoji38][emoji23] hata draw tu kwa city ulishindwa kupata.
Hizo points3 ziliwafikisha wapi?
Emery mlimbania hela akajikaza kawafikisha europa fainali na pesa kiduchu . Huyu teta wenu hela nyingi lakini hakuna cha maana mlichofanya zaidi ya matumaini bandia anayowapa kila siku.