Kaangalie ratiba ya Arsenal ,mbona ipo tayari inajulikana tarehe za mechi za UCL , league and Carabao energy drink cupUmezionea wapi fixtures za championsleague?
Wewe kila mpinzani unasimama nae
Huyo jamaa ni gay sio namsingizia
Ana mdomo mchafu balaa
Sasa wewe msapoti mwisho mkutane inbox mkamalizane
Wewe unaonesha mechi za wanaume wenzio walio pambana tuoneshe wewe ukipambana na mimi Kama hivi.Sevilla wanaomba wapewe na Arsenal holding kwa mkopo
Halafu mtu anakwambia hii timu itaisumbua Arsenal ,
Hii sio manjesta ambayo hata pass 10 haiwezi kupiga
Unazungumzia Arsenal inayoweza kupiga pass 25 had goli View attachment 2735478
Hii itawaepusha na kipigo jumapili?Wewe unaonesha mechi za wanaume wenzio walio pambana tuoneshe wewe ukipambana na mimi Kama hivi.
Aaaaaah kitawarambaView attachment 2735523
Sasa ww una nini mkuu🤠🤠🤠....mbona unazungukazunguka sana....nimekuuliza ww umeshinda ubingwa wa ligi mara ngapi tangu mpira uanze kuchezwa Pale Uingereza...halafu ww mara ya mwsho kucheza UEFA ni lini🤠🤠🤠...na ulifika wpi....jibu hyo maswali ndo tuendelee...mi nimeshawahi kucheza fainali ya UEFA na Europa zte nikafungwa....ww tangu klabu imeumbwa umewahi kucheza fainali ya UEFA au Europa🤠🤠🤠Miaka 20 huna EPL halafu unajiita timu kubwa hio ni EPL bado hatujazungumzia UEFA ambayo ulikuwa unashiriki tu kusikiliza nyimbo ya mashindano na si kushindana ukawa una kula vyuma vya kutosha mara 10 mara unafungwa goli 4 na mtu 1 wakaona upewe pumziko la miaka saba .
UEFA wameona kabisa tuunde ka group tuweke vitimu vya europa ili tusiharibu ladha ya mashindano maana mkichanganywa na UEFA teams itakuwa aibu ya magoli.